GE2025 Nini kimempata Fatma Karume?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ndio democracy mnayotaka ..anayo haki ya kubadilika kama kinyonga
 
Hizo number Kila mtu anazijua ...maana Kila siku mnajiaribia kwa siasa zenu za kijinga
 
Kwa hiyo, huenda mchawi wa kweli ni Watanzania wasiojitambua wenyewe na si CHADEMA wala Fatma Karume kama inavyodaiwa?
 
Fatma ni mbaguzi, anaendeshwa na udini na uzanzibar.. hawezi kukosoa utawala kutoka kwao.
 
Unadhani hatuujui ukweli? Wapiga kura wengi wa upinzani wameshalipuuza box la kura, hayuko tena anayeoona thamani ya huo uchaguzi. Huenda unaongea na wanaccm wanaoiwakilisha cdm, ndio maana umefikia hitimisho hili. Kama huamini subiri uone voters turn out ndio utajua nisemalo.
 
Si ndio demokrasia yenye kila mtu kutoa mawazo yake, au hamtaki demokrasia?
 
Hizo number Kila mtu anazijua ...maana Kila siku mnajiaribia kwa siasa zenu za kijinga
30m+? Watanzania kwa mujibu wa sensa tuko 62m, inawezekana vipi nusu ya watanzania wenye miaka 18+ wawe idadi sawa na walioko chini ya miaka hiyo? Halafu kibaya zaidi wenye umri huo wote wawe wamejiandikisha kupiga kura. Yaani kwa maneno marahisi, kila watanzania wawili, mmoja amejiandikisha kupiga kura! Mnaweza kufanya watu ni wajinga, lakini kupitia hesabu, wajinga wa kweli mnaonekana.
 
Anakuaga na kauzanzibar na kaudini lakini pia loneliness depression
 
Damu nzito kuliko maji
 
Umeitafsiri vyema kabisa. Na kwa kadri muda unavyosonga, mambo mengi yanaendelea kujidhihirisha wazi. Hata hivyo, bado Watanganyika wengi wamefungwa na upofu usio na tiba, hawaoni, hawasikii, na hawataki kuelewa.
Hapana, siyo kwamba "waTanganyika hawataki kuelewa"; wewe si unaona kila juhudi zinazofanywa na hawa wakoloni wetu? Tundu Lissu yuko ndani, kuzuia hawa watu wasiewe elimu, waelewe. CHADEMA yenyewe mahakama imewawekea kizingiti, ili waTanganyika wasiate elimu juu ya HAKI yao ya kuwachagua viongozi wao wanaowataka wenyewe; na Samia na GENGE ndio wanakazana kabisa sasa kwamba ni lazima ashinde kwa nguvu zote zitakazotumika.
Kwa hiyo siyo rahisi kuwalaumu waTanganyika, kwa sababu wamefungwa ndani ya nchi yao, na hawana uongozi wa kuwatangulia katika mapambano haya.
 
Mpe muda
 
Anabembeleza arudishiwe leseni ya uwakili ya kupractice Tanganyika.
 
Nyerere alisema wanasiasa wenye tabia za kimalaya malaya
Usiwaamini wanawake....! Usikute amesha mpata Mwanaume m CCM na anampenda, lazima abadili msimamo hasa katika umri wake Mwanaume ni pipi tamu sana.
 
Na ww nawe unaigizwa mjini kirahisi, miaka 10 ndio umri wa ACT, ni lini kulikuwa na hali ya wao kukataa kushiriki uchaguzi wakati walikuwa wachanga?
Mkuu,

Huelewi kwamba ACT ni CUF imebadilishwa jina tu na kulikuwa na mazungumzo marefu ya maridhiano SMZ?
 
Udini umamsumbua huyu

Apishani na Zitto msaka tonge
 
Hajawahi kuwa mtetezi wa haki hata siku moja,yeye alikuwa mpinga Magufuli na mpinga ukristo,alikuwa anampinga Magu kwa kuwa alibana watoto wote wa wakubwa wa CCM kuinajisi hii nchi
 
Why do people expect Fatma to be consistent?

She is not an electwd official. She is not on the dole.

What pillar of society is Fatma Karume?

What if she is aging and said :I am not going to spend my life being an activist. I am scaling back"?

Does she not have that right?

Why all these expectations on her?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…