GE2025 Nini kimempata Fatma Karume?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Alikuwa teja yule wakati anaishi UK. Baba yake alifunga safari kuhakikisha anapata matibabu ya Rehab ndo akapona.

Dawa za Kulevya haziondokagi kichwani. Kuna muda zinatulia kuna muda zinaibuka tena.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nchi aiongozwi na harakati..nchi aiendelea kwa harakati za porojo.
 
Nyerere alisema wanasiasa wenye tabia za kimalaya malaya
Lakini yeye ndiye chanzo cha kuwakumbatia hawa wabaguzi,pamoja na juhudi zake zoote za kuutetea muungano huko kwao wanamuona ni adui yao no-1.
 
Labda ni religious sensitive
 
Nchi aiongozwi na harakati..nchi aiendelea kwa harakati za porojo.
Au sio!? Nchi inaongozwa kwa wizi, ufisadi, ujinga, utekaji, uuaji, ufiraji na ubakaji!? Ndiyo uliyofundishwa na wazazi wako !?
 
Inawezekana pia!? Lkn mbona huwa anatetetea haki za mashoga !?
Hata my sweet wangu Faizafoxy anatetea zao la bangi na hata pombe kwa hoja ya kuiongezea mapato serikali
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Duh mm najuwa ana kaka yake mmoja jina kapuni ndy alikuwa mtumiaji nahs mpaka sahv alafu mtu mzima kdg πŸ˜„
Sema fatma anaongea sana πŸ˜„

Ova
 
Au sio!? Nchi inaongozwa kwa wizi, ufisadi, ujinga, utekaji, uuaji, ufiraji na ubakaji!? Ndiyo uliyofundishwa na wazazi wako !?
Nchi inaongozwa na sheria,taraibu,kanuni na uongozi basi.
 
Zipo sababu kuu tatu
Mosi Dini.
Pili Uzanzibari
Tatu Maslahi ya baadae.
Sababu mbili yaani ya kwanza na tatu Zitto yumo.
 
Zipo sababu kuu tatu
Mosi Dini.
Pili Uzanzibari
Tatu Maslahi ya baadae.
Sababu mbili yaani ya kwanza na tatu Zitto yumo.
Na huo ndio ukweli mkavu
 
It's not numbers za wapiga kura. Ni numbers za members of public ambao wako tayari kususia uchaguzi. Even within Chadema, people are not happy with kususia uchaguzi. And you can just see that from public mood. Chadema wameshakosea mahesabu, asiyafutwe mchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…