comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,670
- 17,898
Anasubiri raisi atoke bara aanze uanaharakati
Unajua hawa wanawake Samiah Suluhu,Tulia Acksoni,Halima Mdee na Fatma karume wanalipeleka Taifa kubaya kama wanaume tutaendelea kuwa mabwege,machawa,na watu wasiojali mambo ya msingi.