Nini kimemkuta Idris Sultan?

Lokole namjua vizuri braza, huyo anaetangaza na mai martha simjui sijawahi hata angalia hicho kipindi.

Hapo bold nimecheka mnooo bro
 
Sultan mwenzie anagombea Oktoba heka heka nyingi na hakondi 😁
 
Aseee hafananii na hayo mambo,kumbe na yeye alikuwa anafanyia wengine πŸ₯Ί

Binafsi nikisikia mtu shoga nasikitika haijalishi ni mwanafamilia(Mungu aepushe) ama rafiki
Mi nimezungumza general, sijamaanisha yeye kafanya hivyo japo ulichoelewa ndio ipo hivyo hivyo
 
Max sijawahi kuamini. Japo hiyo issue ilivuma kipindi alipolia baada ya kuacha kumsimamia Young D kama Manager.

Ila kila mtu ana dark side yake na kama mambo yote yangekuwa yaanaanikwa wazi, wazazi wangekufa kwa presha. Ila tuishi tu mkuu
 
Mmmh hana akili tu hio pesa angetafuta kiwanja huko tegeta ndani ndani siingekuwa powa, sasa saiv kapanga tu hana kwake mshika anjilaumu kimoyomoyo najua hilo, anyway bht haijirudii mara mbili kwishaaa

Umemuelewa huyo jamaa hapo juu ?

Ni kuwa masikini akipata 500M kwa mkupuo lazima atatumia hadi atabaki na hela inayoendana na akili yake ndo atawekeza.

Mfano Idriss alipomaliza huo mkwanja ndo alikumbuka kufungua ofisi ya kupiga picha na production.
 
Max sijawahi kuamini. Japo hiyo issue ilivuma kipindi alipolia baada ya kuacha kumsimamia Young D kama Manager.

Ila kila mtu ana dark side yake na kama mambo yote yangekuwa yaanaanikwa wazi, wazazi wangekufa kwa presha. Ila tuishi tu mkuu
Vijana wanapandwa kweli wala si utani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…