Nini kimelekea Spika Tulia kutengwa kwenye ibada?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,289
104,118
IMG-20230820-WA0016.jpg

Katika hali ya kushangaza Spika Tulia amejikuta peke yake kwenye bench wakati ibada ikiendelea.

Nimejiuliza nini kinapelekea hali hii kutokea? Ni sakata la Bandari au kuna kingine
 
View attachment 2722808

Katika hali ya kushangaza Spika Tulia amejikuta peke yake kwenye bench wakati ibada ikiendelea.

Nimejiuliza nini kinapelekea hali hii kutokea? Ni sakata la Bandari au kuna kingine

Inaonekana anapenda ibada kweli, huu ni uthibitisho kwamba maamuzi na kupenda Mungu ndo kunambadilisha mtu, sio kuhudhuria ibada.
 
View attachment 2722808

Katika hali ya kushangaza Spika Tulia amejikuta peke yake kwenye bench wakati ibada ikiendelea.

Nimejiuliza nini kinapelekea hali hii kutokea? Ni sakata la Bandari au kuna kingine
Ndiyo maana viongozi wanaishiaga kuwa wanga tu, sasa si angebaki nyumbani aifuatilie ibada redioni! Mtu unaenda kujumuika na waumini wenzake unaishia kujitenga, kisa eti protocal.
Wakati akiwa rais, tulikua tunasali na Mkapa pale St. Imacculate Parish, lakini kamwe alikua hawekwi kipweke hivyo. Sikuzote aliandaliwa sehemu ya kukaa, na watu wa karibu na atapokaa either watakuwa screened before au atasogezewa hata watoto lakini siyo benchi kuwa wazi kama hivyo.
 
Hajatengwa huyo; kapewa heshima yake kama kiongozi mkuu wa mhimili unaojitegemea; usiofungamana; wala kushurutishwa; wala kulazimika kufuata maamuzi ya mhimili mwingine! Mhimili wake uko huru sana hivyo ni lazima na yeye akae kwa uhuru bila kuzongwazongwa.
 
Back
Top Bottom