Nini kimelekea Spika Tulia kutengwa kwenye ibada?

Nini kimelekea Spika Tulia kutengwa kwenye ibada?

Kunaweza kuwa na sababu nyingi,

-alikula kiporo asubuhi kupelekea kutoa hewa chafu sana kiasi watu wakashindwa kukaa karibu yake.

- Kinywa kilikuwa kinatoa harufu ikizingatiwa ni asubuhi.

- Walimpa nafasi ili waraka umuingie vilivyo.
 
Fundi wa hili gauni atapewa kesi ya uhaini,nipo hapa nimekaa
 
Naona amepost kaclip chake cha mamba na nyumbu huko instagram akimaansha DP woriied kweli ni woriied kwa taifa
 
Back
Top Bottom