Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

Siku hizi kuna ndoa za mkataba! Ila hamuandikishani,Muda ukiisha kila mtu anatafuta mchepuko maisha yanaendelea....
 
Kwangu mimi mwanaume wanawake wamezidi kuwa na tamaa sana na kutokuwa waaminifu wakitegemea sana Vibabu Viwarahisishie Maisha hata kama umemuoa
 
sina sababu, pengine naogopa purukushani za procedure ya harusi
 
Back
Top Bottom