Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,861
- 25,771
Bombadier zimeharibu soko lake
hizomchina mara zimeungua mara zimekata kona zenyewe kuvamia gari zingine endelee ni kufa kupenda rahisi rahisi.big up mremimzee mremi mbishi... wenzake wanacheza na wachina... yeye kaamua kufa na scania zake..
bei ya scania moja unanua mchina mbili au tatu... so lazima wakimbize tu... abood alileta ubishi ila kasanda nae kaamia mchina
akikomaa na scania na hasipobadilika... lazima afunge biashara
Taja Kampuni nyingine tena hiyo kanda ya kati tuone,Ulishasafiri huko kaskazini lakini au upo hapo kibaigwa unatusumbuaKaskazini kuna magari gani mkuu yanayoweza shindana na akina shabiby, kimbinyiko na wengine.
Kaskazini huwa naenda sana..na gari linaloweza kushindana na hizo nilizotaja ni Dar lux, labda na Ratco tho siionagu ikianzia Dar..mengine yalobaki ni makopo..plus inferior services..Taja Kampuni nyingine tena hiyo kanda ya kati tuone,Ulishasafiri huko kaskazini lakini au upo hapo kibaigwa unatusumbua
alimfanya nn ndugu hebu tujuze tupate kufahamu maana biashara hasa hzi za magari zinasir nyingi sanalaana ya marehemu kamwe haiwezi kumuacha mtu salama...
alichomfanyia kaka yake marehemu mzee mremi wa kibaha mungu anajua ...na ndio hicho kinachommaliza mali ya dhuruma hiyo hadi kaka yake amefariki analalamikia hyo dhuruma aliyofanyiwa
aliyestahili kuwa mwenye mali amefariki na hyo kampuni nayo lazma ifariki imfate marehem mzee mremi
TAHMEED ana mashine hii, SCANIA na ukiiona tu unasikia ASHKI.Acha uzwazwa wewe na utambue njia ya kaskazini kuna magari mazuri na yenye huduma bora kushinda hiyo kanda ya kati ...
Kilimanjaro Exp
Tahmeed
Lim Safaris
Raqeeb
Na mengine mengi ..
alimfanya nn ndugu hebu tujuze tupate kufahamu maana biashara hasa hzi za magari zinasir nyingi sana
Nasikia kajikuta yupo Nyanda za Juu kusini,[HASHTAG]#WewantAbdulNondo[/HASHTAG] Alive
[HASHTAG]#BringbackAbdulNondoAlive[/HASHTAG]!