Nini kimeikumba Dar Express?

Acha uzwazwa wewe na utambue njia ya kaskazini kuna magari mazuri na yenye huduma bora kushinda hiyo kanda ya kati ...

Kilimanjaro Exp
Tahmeed
Lim Safaris
Raqeeb
Na mengine mengi ..
 
Imeset standards zipi mkuu!!?
 
Acha uzwazwa wewe na utambue njia ya kaskazini kuna magari mazuri na yenye huduma bora kushinda hiyo kanda ya kati ...

Kilimanjaro Exp
Tahmeed
Lim Safaris
Raqeeb
Na mengine mengi ..
Shabiby
Kimbinyiko
ABC

Japo wana mabasi ya kichina ila wapo vizuri sana kuliko mabasi yote ya kaskazini.

Naongea hivi kwasababu nimepanda mabasi haya na yale ya kaskazini.
 
Mkuu kwa taarifa yako dar es express korogwe hotel imeuzwa kwa Liverpool owner wa Liverpool motel mombo

Jambo usilolijua si vizuri kuliongelea.Kwa taarifa yako Highway imekodishwa na Mwarabu wa Liverpool.
 
ohooooo
 

Miiko ya Kimizimu imekengeukwa / imekosewa.
 
Alijaribu kuwa tofauti na washindani wenzake akaleta Benz badala ya kuhamia kwa mchina.

Naungana na Bavaria kwamba tatizo kubwa lipo kwenye usimamizi na huduma. Hizo Benz na Scania zikitunzwa vizuri kuna wateja wataendelea kuyapanda tu.
 
Mhenga, asante.
 
Ulichokiandika hapa mkuu kina ukweli mkubwa sana,february mwanzoni nilikuwa na safari ya kaskazini huko nilipoenda nikapanda hizi gari,gari ilikuwa nzuri mno tulifika on time hii ilikuwa ni zile za kwenda Rombo Tarakea.wakati wa kurudi pia nikapanda gari za kampuni hii hii,barabara za kule zina kona nyingi sana basi ghafla njiani gari ikakataa kukata kona konda kuangalia hydraulic pipe za steering pump zimepasuka zinavuja mbaya kabisa.ikabidi tusubiri gari ya pili.gari ilipokuja nilikaa seat moja na bimkubwa mmoja akadai anaifaham vizuri familia ya mmiliki wa hii kampun na akawa analalamika kwamba toka huyo mzee alipoowa mke wa pili{akimuita mke mdogo}umakini na utendaji umeshuka sana maana huyo mama ameweka watu wake bila kujali kama wana nidham nzuri au hawana.pia kuna kitu kinachompotezea wateja,siku hizi kuna hii route ya kukatizia Bagamoyo na kuja kutokea Ubungo moja kwa moja,watu wengi wa kule safari zao wanasafiri na mizigo na wengi makazi yao ni kuanzia Kibaha kuja mpaka Kimara so mtu anaona aje mpaka Shekilango kisha achukue Bajaj au tax bora akapanda gari nyingine zinazopitia Kibaha.
 
Alijaribu kuwa tofauti na washindani wenzake akaleta Benz badala ya kuhamia kwa mchina.

Naungana na Bavaria kwamba tatizo kubwa lipo kwenye usimamizi na huduma. Hizo Benz na Scania zikitunzwa vizuri kuna wateja wataendelea kuyapanda tu.
Bahati mbaya sikuwahi ipanda ile Benz.

Ila napenda mtu au mfanyabiashara ambaye yupo Unique kwenye huduma zake.

Inakuwa rahisi kutengeneza loyal customers kwa haraka zaidi.

Sipendi hiyo michina ila kuna wakati najikuta sina jinsi inabidi niipande.
 
Njia ya bagamoyo sio nzuri kwa magari ya kwenda kaskazini kwasababu asilimia kubwa ya wateja wao wanakaa along morogoro road.
 


eeeh haya mabasi bado yapo?
 
UDA wameleta mchina znafika mpaka bukoba juzi nimepanda ziko poa sana
 
Kuna 2 by 1 Tahmeed ya Nairobi tu Dar hio Ni zaidi ya Daraja la juu, Uhangaike na marcopolo ya nini 2 by 2 seat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…