Nini kimefanya bunge lipoteze mvuto?

Wewe umejuaje yote hayo kama Public haifuatilii?

Kwanza Mimi nimeona taarifa za CAG ikabidi niulize Je miaka ya nyuma nako CAG alikuwa anaenda kusoma taarifa upya Bungeni tena Ile Ile aloyosoma mbele ya Rais au ni utaratibu Mpya?.

Mwisho hii ya kuwasilisha taarifa Bungeni harafu mjadala wake unakuwa mwezi Novemba-Disemba ni upuuzi.
Mkuu bila Shaka umelipwa usiku huu....
 
Sikujua kama kulikuwa kuna vikao vya bunge vikiendelea..

Nimeshangaa sana kumbe kuna bunge, tena kubwa kabisa kuelekea bajeti.

Inashangaza sana.

Hata zile clips kutoka bungeni siku hizi hazipo tena.
sIku hzi hakuna Bunge bali n mkutano wa chama kimoja. Wakijadil sera na itikad za chama chao. Kama mpira wote n team moja wapo uwanjani
 
Yaani roho zituume kwa majizi kuwepo kwenye hilo bunge la Tanzania? Ni bunge la US Nini?
mnafatilia kiana sio 🤣

kuna wimbo moja wa msanii anaitwa huseni machozi unaitwa UTAIPENDA, unawahusu sana but pia ni dedication kwenu wote mnafatilia bunge kwa mihemko na gubu 🐒

hata hivyo,
ni vizuri kufuatilia bila kujivunga msijifiche haina maana yeyote 🐒
 
Mtu kama wewe ukiulizwa unataka taifa lako liwe la ngapi duniani kwa wananchi wake kuwa na furaha, bilashaka utajibu wananchi wawe na furaha ili iweje?? wananchi kuwa na furaha kwako sio kitu muhimu.
mtu mwenye mihemko na gubu huwa anajivunga kufurahi mbele za watu tu, lakini akiwa pekeyake anainjoy na kufuatilia bunge vizuri sana, na hilo ndilo la muhimu zaidi.

hayo mengine ni stori na porojo za kawaida tu ambazo si za maana sana 🐒
 
Huko bungeni hakuna hao unaowasema!

Ova
muulize nilie mjibu 🐒

hata hivyo bunge la Tanzania litaendelea kutekeleza majukumu yake kikamilifu kwa mujibu wa katiba , sheria, taratibu na kanuni zilizowekwa, kwa maslahi mapana ya waTanzania wote, hususani wale waTanzania wenye mihemko, gubu, wale wa kuzira, kususa, kugoma na hata waandamanaji. Ni waTanzania na Lazima wahudumiwe pia kwa haki na usawa 🐒
 
Duh

Ova
 
Bunge la sasa limekaa kibinafsi tu, Limekaa kuwaweka wao katika hali nzuri tuu kimaisha... Kwahiyo mimi kama mwananchi nimewasusia ningeomba wawe wanajijadili wao na familia zao na ndugu zao kila wakikutana hapo kwenye kigenge chao kuliko kutuletea unafiki sisi wananchi.
 
Sikujua kama kulikuwa kuna vikao vya bunge vikiendelea..

Nimeshangaa sana kumbe kuna bunge, tena kubwa kabisa kuelekea bajeti.

Inashangaza sana.

Hata zile clips kutoka bungeni siku hizi hazipo tena.

Bunge siyo jengo, bali watu waliochaguliwa na wananchi kuwawakilisha. Sasa haya majizi na maporaji ya haki za wananchi, yanamwakilisha nani?

Kwa nini upoteze muda wako kuyafuatilia majizi ya haki za wananchi? Shughulika na mambo yako. Haya majizi yaache yaendelea kuiba kwa sababu tuna mfumo wa utawala unaoruhusu majizi na maporaji ya haki za wananchi, kutobughudhiwa.
 
BUNGE HALIKO KWA AJILI YA WANANCHI HILO,HILO LIKO KWA AJILI YA MATUMBO YAO TU NA MASLAHI YAO

ova
 
Bunge linaendelea kama mtu sio mfatiliaji huwezi kujua, na hii haihitaji kutangaziwa na mabango kila kona kama michezo

Fatilia masuala ya nchi yako ujue nchi yako, ama subiriwa utafuniwe na vyombo vya habari katika vipaumbele wanavyoviteua wenyewe
Walipofuta live coverage ya bunge watu wakaamua kupotezea mazima.

Uchaguzi wa 2020 ulikuja kumalizia tu.

Nani apoteze muda kufuatilia bunge la Tulia ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Bunge linaendelea kama mtu sio mfatiliaji huwezi kujua, na hii haihitaji kutangaziwa na mabango kila kona kama michezo

Fatilia masuala ya nchi yako ujue nchi yako, ama subiriwa utafuniwe na vyombo vya habari katika vipaumbele wanavyoviteua wenyewe
Siwezi kufuatilia waliohalalisha kuuza bandari yetu kwa wageni. Wamepitisha miswada mingi ya hovyo na mikataba mingi ya kuliumiza Taifa langu. Bado wameshindwa kuiwajibisha serikali inapofanya madudu hasa kutokana na ripoti ya CAG. Kiujumla siwezi kufuatilia bunge linalitetea serikali badala ya kuwawakilisha wananchi
 
mnafatilia kiana sio 🤣

kuna wimbo moja wa msanii anaitwa huseni machozi unaitwa UTAIPENDA, unawahusu sana but pia ni dedication kwenu wote mnafatilia bunge kwa mihemko na gubu 🐒

hata hivyo,
ni vizuri kufuatilia bila kujivunga msijifiche haina maana yeyote 🐒
Zaidi ya kuona hizi post za bunge hapa jf, Sina muda wa kufuatikllia huo ukhanithi.
 
Limeanza lini Hilo bunge kibogoyo na kuisha lini? Tatizo Kila mbunge anyesimama lazima aseme mama ametoa tsh billion 200 sijui za Nini halafu hapohapo anaanza kulaumu serikali haijatekeleza hiki.sisi wazalendo hatuoni umuhimu wa Hilo bunge kibogoyo
 
Zaidi ya kuona hizi post za bunge hapa jf, Sina muda wa kufuatikllia huo ukhanithi.
unajiumiza bure tu kisaikolojia,
na mambo tunasukuma vizuri sana na yanaenda vizuri mno bila mbamabamba yoyote :pedroP:
 
Sikujua kama kulikuwa kuna vikao vya bunge vikiendelea..

Nimeshangaa sana kumbe kuna bunge, tena kubwa kabisa kuelekea bajeti.

Inashangaza sana.

Hata zile clips kutoka bungeni siku hizi hazipo tena.
Bunge halina mvuto kwa sababu hakuna ushindani, kila mmoja ni CCM pale bungeni
 
Back
Top Bottom