Northpole
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 590
- 858
Madawa ya kulevya ni ufukara na ujinga, hizo zingine ni propaganda za kudanganya wananchiNyinyi mnakosa mambo. Leo Waziri Jenista Mhagama alikuwa anaongea kuhusu juhudi kubwa zilizofanywa na serikali kukomesha madawa ya kulevya,halafu mnasema Bunge halina mvuto?