Nini kimefanya bunge lipoteze mvuto?

Nini kimefanya bunge lipoteze mvuto?

Bunge Imara, Makini na Lenye weledi kama Bunge la Tanzania haliwezi kamwe kupoteza mvuto ingawa hilo sio la Muhimu sana , kwamba eti bunge liwe na mvuto, ili iweje sasa 🐒

Bunge makini hufuatiliwa kwa umakini Zaidi na watu makini, wenye bidii, mahiri na wenye maono na dhamira si tu ya kujua kinachojadiliwa bungeni bali pia kujua uelekeo mujarabu wa Taifa lao, mama Tanzania 🐒

Binafsi,
nalipongeza sana kwa namna ambavyo shughuli zinavyoendeshwa mjengoni, kwa Uhuru, uwazi na usawa sana miongoni mwa wabunge wote..
Asanti sana speaker, naibu speaker na wenyeviti wote wa bunge, kwa namna wanavyoongoza vikao vya bunge na kamati vizur sana 🐒

God bless Tanzania
Bunge la majizi liko kama uji wa baridi usio na sukari.😂
 
Mtu kama wewe ukiulizwa unataka taifa lako liwe la ngapi duniani kwa wananchi wake kuwa na furaha, bilashaka utajibu wananchi wawe na furaha ili iweje?? wananchi kuwa na furaha kwako sio kitu muhimu.
 
Sikujua kama kulikuwa kuna vikao vya bunge vikiendelea..

Nimeshangaa sana kumbe kuna bunge, tena kubwa kabisa kuelekea bajeti.

Inashangaza sana.

Hata zile clips kutoka bungeni siku hizi hazipo tena.
Wewe ndio umepoyeza mvuto,mbona Bunge linafuatiliwa sana na Wananchi Toka limeanza kuwa live?

Kutokujua kwako not necessarily kwamba na wengine hawajui au hawafuatilii.
 
Cha kushangaza Leo ripoti ya CAG imesomwa na kesho TAMISEMI wanasoma bajeti yao, ila Public haifuatilii kabisa.
Wewe umejuaje yote hayo kama Public haifuatilii?

Kwanza Mimi nimeona taarifa za CAG ikabidi niulize Je miaka ya nyuma nako CAG alikuwa anaenda kusoma taarifa upya Bungeni tena Ile Ile aloyosoma mbele ya Rais au ni utaratibu Mpya?.

Mwisho hii ya kuwasilisha taarifa Bungeni harafu mjadala wake unakuwa mwezi Novemba-Disemba ni upuuzi.
 
Back
Top Bottom