Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,784
- 58,393
Sis wee unajua kunishambulia tu πππππππ win wa me anarud lini..?Kwender πππ
Sis wee unajua kunishambulia tu πππππππ win wa me anarud lini..?Kwender πππ
Tutoke kwenye huu uzi hayo maswali hapa sio mahali pakeSis wee unajua kunishambulia tu πππππππ win wa me anarud lini..?
Tatizo lenu nkiingiza mtandaoni mnagoogle porn, kufatilia mipira, umbwa, lkn kutaka kujua Nini kinaendelea nnchini Amna .... Umeona hatabulivyo malizia hapo mwisho eti clips za kutoka bungeni Hamna.... Embu sikiliza redio na uchague unataka kusikiliza nnSikujua kama kulikuwa kuna vikao vya bunge vikiendelea..
Nimeshangaa sana kumbe kuna bunge, tena kubwa kabisa kuelekea bajeti.
Inashangaza sana.
Hata zile clips kutoka bungeni siku hizi hazipo tena.
hakuna mtu mwenye akili timamu atakaye poteza mda wake kwa kufatilia bunge la hovyoBunge linaendelea kama mtu sio mfatiliaji huwezi kujua, na hii haihitaji kutangaziwa na mabango kila kona kama michezo
Fatilia masuala ya nchi yako ujue nchi yako, ama subiriwa utafuniwe na vyombo vya habari katika vipaumbele wanavyoviteua wenyewe
Na bima za afya zikatwe kwenye laini za simu πππMtu ana simama anaanza kutetea kikokotooo ooooh mara wastaafu wengi wanakufwaaa aaaaahhhhh
Hakuna bunge pale ni genge la matapeli,mafisadi,vibaka waliovaa suti wako pale kujaza matumbo yaoSikujua kama kulikuwa kuna vikao vya bunge vikiendelea..
Nimeshangaa sana kumbe kuna bunge, tena kubwa kabisa kuelekea bajeti.
Inashangaza sana.
Hata zile clips kutoka bungeni siku hizi hazipo tena.
Mono partySikujua kama kulikuwa kuna vikao vya bunge vikiendelea..
Nimeshangaa sana kumbe kuna bunge, tena kubwa kabisa kuelekea bajeti.
Inashangaza sana
Hata zile clips kutoka bungeni siku hizi hazipo tena.
Bunge Imara, Makini na Lenye weledi kama Bunge la Tanzania haliwezi kamwe kupoteza mvuto ingawa hilo sio la Muhimu sana , kwamba eti bunge liwe na mvuto, ili iweje sasa πSikujua kama kulikuwa kuna vikao vya bunge vikiendelea..
Nimeshangaa sana kumbe kuna bunge, tena kubwa kabisa kuelekea bajeti.
Inashangaza sana.
Hata zile clips kutoka bungeni siku hizi hazipo tena.
Kwanza lifutwe tu mana hakuna anaefaatiliaNa mii kama wewe nimejua kupitia wewe πππππ
ππππππππ Ila bongo NyieKwanza lifutwe tu mana hakuna anaefaatilia
Kuna maelekezo na ukosoaji mwingi yalio jaa maxhggshshjeknbshsk kutoka kwa CAG inatia hasira tu maana sijui zinaenda kujadiliwa na bunge la nchi gani hata...π€·ββοΈSikujua kama kulikuwa kuna vikao vya bunge vikiendelea..
Nimeshangaa sana kumbe kuna bunge, tena kubwa kabisa kuelekea bajeti.
Inashangaza sana.
Hata zile clips kutoka bungeni siku hizi hazipo tena.
Acha uwongo kwenye google imeanza leo?mbogamboga ziro kabisa.Tatizo lenu nkiingiza mtandaoni mnagoogle porn, kufatilia mipira, umbwa, lkn kutaka kujua Nini kinaendelea nnchini Amna .... Umeona hatabulivyo malizia hapo mwisho eti clips za kutoka bungeni Hamna.... Embu sikiliza redio na uchague unataka kusikiliza nn
Kwani kuna wabunge au mkusanyiko wa chawa wanaotafuna rasilimali zetu kila mtu kwa urefu wa kamba yakeSikujua kama kulikuwa kuna vikao vya bunge vikiendelea..
Nimeshangaa sana kumbe kuna bunge, tena kubwa kabisa kuelekea bajeti.
Inashangaza sana.
Hata zile clips kutoka bungeni siku hizi hazipo tena.
Mbona unazunguka sana mkuu?