fabinyo
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 3,041
- 2,220
Habari wanajamvi...takribani miaka hii miwili iliyopita nimekuwa nikiona Defender zikipanda chat,zinakuwa pimped haswa japo ni za zamani lkn zinatoka ile mbaya!Huku Arusha waliokuwa na Masubaru sasa wamehamia kwa Landies,bei sasa hazishikiki,nini siri?zamani walikuwa hawazioni?sio rahisi kukuta zimepaki mitaani zikiwa mbovu kwa sasa.