Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,568
- 17,992
Ngoja tuone upepo wa mwaka huu.Nimeuliza tu mkuu
Jr[emoji769]
Ngoja tuone upepo wa mwaka huu.Nimeuliza tu mkuu
Jr[emoji769]
Naangalia azam tv hapa walikua wanaonesha Maalim yuko Pemba ana shazi sio la karne hii..lakini ghafla wakakatisha!Sawa ..maandishi yapo hayafutiki
Jr[emoji769]
Labda kuna mtu kawapigia simu wasiendelee kuonyeshaNaangalia azam tv hapa walikua wanaonesha Maalim yuko Pemba ana shazi sio la karne hii..lakini ghafla wakakatisha!
pia ziliibiwa.Pamoja na hayo kuna juju na kafara kubwa vilifanyika
Jr[emoji769]