Jecha alifanya kazi yake! Sasa wameagizwa wakurugenzi!
Jecha alifanya kazi yake! Sasa wameagizwa wakurugenzi!
Tatizo wanaoshabikia CDM hua hata hawajajiandikisha kweny daftar la wapiga kura wanaviparata tu
@Mshana Jr katika namna yako, natamani udondoshe yalivyofanyika makafaraPamoja na hayo kuna juju na kafara kubwa vilifanyika
Jr[emoji769]
Hivi yule binti wa jiwe aliyekufaga kwa maralia kweli haikuwa kafala mkuuKuwa mpole ...yatadondoka tuu
Jr[emoji769]
Unamuuliza kwani yeye ni Mungu?Hivi yule binti wa jiwe aliyekufaga kwa maralia kweli haikuwa kafala mkuu
Yalitokea yasiyotegemewa, lakini bado wanategemea kwa mtindo huo huo. Kujifunza ng'oooooo, Duh!!!
Hakuwa binti bana. Naijua sana hii familia hata kabla ya mzee kuwa digala, alikuwa mjukuu mtoto wa rafiki yanguHivi yule binti wa jiwe aliyekufaga kwa maralia kweli haikuwa kafala mkuu
Ni kweli nyakati hazifanani ila huacha historia ya kutufunza tulipotoka, tulipo na tunapokwenda. "Why re-invert a wheel?”Nyakati hazifanani....ya leo sio ya jana
Sidhani this time TAL ni next levelKilichotolea 2015 ni kama kitakachotokea mwaka huu. They can not afford to loose an election. Never. Wamejifinza lilichowapata KANU ya Kenya, UNIP ya Zambia na kwa kiasi fulani UPC ya Uganda