Nini kilisababisha Prof Mwakyusa kumpuuza Baba wa Taifa?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,876
2,740
Katika tamthiliya inayoendelea, mengi nayo yanaendelea kuibuka kutokana tu na kile kinachodaiwa kuwa ni mbinu za kampeni. Katika mchakato huu tunaambiwa kuwa daktari wa Nyerere aliamua kumpuuza na kumtelekeza na kumwachia Dr. Malima jukumu la kumtibu Mwalimu. Bila shaka kutakuwa na sababu ya msingi ya kufanya hayo hasa tukichukulia nafasi ya Mwalimu katika Taifa hili. Heshima ya kiafya anayoipata Mandela alistahili kuipata Mwalimu.

Wajuzi mtueleze kinagaubaga, ikawaje Mwakyusa hakutimiza wajibu wake na 'wito' wake kama ambavyo serikali iliyoko madarakani inataka madaktari kutimiza wito wao?

Nawasilisha.
 
S kwamba Dr. Mwakyusa alimtelekeza Baba wa Taifa kule Butiama tu, bali hata alipoenda naye St. Thomas Hospital aliendelea kumpuuza. Yaani alikuwa amuangalii kwa ukaribu kama daktari wake!
 
tunaanza kuwa wadaku.

Mlitaka afanyaje? Tuelezeeni kile alichokifanya na alitakiwa afanyeje!
 
udaku aliuanza mkapa pale jukwaani Arumeru Mashariki. Tunachofanya ni kuhoji kwa nini Mwakyusa hakutimiza wajibu wake kwa mtu kama Nyerere
 
Sasa kama unatoa reccommendation unapuuzwa what next ni kujitoa hasa unapoona kuna mipango haramu.
Alifanya alichofanya Pilato kunawa na kutamka sina hatia na mtu uyu
 
sidhani kama naweza afikiana nawe katika hili. Angekuwa hana hatia katika hili angeenda kwa Mwalimu kutakasa mikono yake mweyewe. Pia sioni popote katika malalamiko ya Mwalimu ambapo Mwakyusa ameepushwa na lawama. Mwalimu ni muungwana na angemsafisha tu
 
Kwani alikua anaumwa nini Nyerere? Na je kipindi hicho Mwakyusa alikua na afya njema au nae alikua mgonjwa? Kwani utaratibi hua ukoje ktk madakatari wa viongozi??? Wanapokezana zamu au
 
Sumu ikiingia kwenye "bone marrow" ikaanza kushambulia mtu anaweza kupona kabisa akawa mzima?
Tunamlaumu Prof bure tu jamani
NOTE: Siamini kama Mwakyembe amepona, tumpe miaka miwili mitatu ndio tutajua
 
Labda Ndio Maana Mwakyusa alipata Ubunge na Uwaziri... CCM - Chama Cha Mafisadi!!!
 
Katika tamthiliya inayoendelea, mengi nayo yanaendelea kuibuka kutokana tu na kile kinachodaiwa kuwa ni mbinu za kampeni. Katika mchakato huu tunaambiwa kuwa daktari wa Nyerere aliamua kumpuuza na kumtelekeza na kumwachia Dr. Malima jukumu la kumtibu Mwalimu. Bila shaka kutakuwa na sababu ya msingi ya kufanya hayo hasa tukichukulia nafasi ya Mwalimu katika Taifa hili. Heshima ya kiafya anayoipata Mandela alistahili kuipata Mwalimu.

Wajuzi mtueleze kinagaubaga, ikawaje Mwakyusa hakutimiza wajibu wake na 'wito' wake kama ambavyo serikali iliyoko madarakani inataka madaktari kutimiza wito wao?

Nawasilisha.
Posti nyingine ni za kipuuzi.
Mtoa mada hebu tupe historia ya matibabu ya Mwalimu kabla na BAADA ya kustaafu, na kama Prof Mwakyusa naye alihamia kabisa Butiama kwa kazi hiyo.
Mwalimu Kama binadamu mwingine alikufa kwa ugonjwa ambao hata mabingwa huko Uingeteza walishindwa kuudhibiti.
 
alikufa kwa UKIMWI sio? Mkapa alituambia kuwa Nyerere alikuwa na upungufu wa kinga mwilini. Ndio kisa cha mwakyusa kupotezea sio? Ndio nachojua
 
Hii issue ngumu saana... Tatizo wengi wa tunao comment wote tunatoa habari tulopata kwa wengine... Isiyo rasmi wala ushahidi wa kutosha.... Sometimes hadi I feel like CCM wenyewe ndio wame manufacture hii issue just so ku diverge the real issues.
 
bahati nzuri vincent nyerere hayuko ccm, na hii ilitokea tu mtu akapayuka na matokeo yake ndio haya
 
S kwamba Dr. Mwakyusa alimtelekeza Baba wa Taifa kule Butiama tu, bali hata alipoenda naye St. Thomas Hospital aliendelea kumpuuza. Yaani alikuwa amuangalii kwa ukaribu kama daktari wake!

Hebu wacheni majungu. Kwani kule St Thomas hakukuwa na madaktari? Akh munakera kweli nyinyi vijana munaojifanya wajuaji
 
Back
Top Bottom