Nini kilisababisha Prof Mwakyusa kumpuuza Baba wa Taifa?

Sikubaliani na wala siamini maneno yanayotolewa kwamba Profesor Mwakyusa alimpuuza Mwalimu Nyerere wakati wa ugonjwa wake uliopelekea kifo. Tutambue kama daktari bingwa Mwakyusa hakutarajiwa kumfanyia "Nursing" mgonjwa wake kwa kukaa naye masaa 24. Pia Mwakyusa Kama daktari bingwa aliendelea kumfanyia uchunguzi wa vipindi (periodic check ups) bila kuhitajika kuhamia Butiama na kuyaacha majukumu yake mengine na wagonjwa wake ( Uzi huu unataka kutuaminiisha kuwa hicho ndicho alichotakiwa kufanya). Kwakua Mwalimu alikua anaishi Butiama ni dhahiri alikua anaonwa na daktari aliye karibu Kama huyo daktari anaye tajwa.
Wakuu tuache kuchokonoa mambo ambayo hakika hatuna uthibitisho nayo na wala hatuna nia na wala uwezo wa kupata ukweli. Tunajivunjia hadhi kudakia mambo ya hisia za WATU ambao baadhi Yao afya ya akili zao inautata.(questionable mental health).jamii yetu inajiongezea ujinga kutokana na uvivu wa kuzisaka na kupata taarifa sahihi mfano kuna WATU wanaamini kwamba babu Seya alisingiziwa wakati wangeweza kwenda mahakama ya kisutu kupata mwenendo wa kesi na kusoma ushahidi wa watoto tisa wenye umri kati ya miaka 8 na 12 halafu ndio waseme amesingiziwa au la.

kwa mfano wako wa mwisho unataka tuamini kuwa Mwakyusa hasingiziwi sio? Jambo ambalo ni ujinga kwako, kwa mwenzio ni elimu tosha, so kuwa mpole na ukweli utajulikana hapa
 
Inasikitisha wa-tz(wana JF) tunapoteza muda kwa mambo ambayo si wajibu wetu na kwamba hatuna tu hata hiyo nafasi ya kuyafanyia kazi. TETESI hizi mwenye wajibu wa kuzifanyiakazi na kama itabidi ni DCI. Wewe na mimi tutakomea kuandika tu na kutoana makosa ya uandishi wa lugha hapa jf, kama kweli kuna mzalendo 100% aende mahakamani kufungua mashitaka juu ya hili. Aandae na ushahidi utakaokubalika hadi wanaosemwasemwa waktiwa hatiani. Vinginevyo mnatwanga maji kwenye kinu.IMANI YANGU NI KUWA KAMA KWELI KULIKUWA NA HAYO YANGEIBUKA PALEPALE BAADA YA KIFO CHA MWL. Familia ama mama yetu Maria Nyerere angesema na yasingfichika,kuendeleza maneno kila kona na kila mtu kuibuka na hili na lile ni upotofu na mbaya zaidi ni kutengeneza bomu. Bila tahadhari bomu hilo litatumiokaje na litaelekezwa wapi, USHAURI WANGU tuweni makini na maneno ya wanasiasa tatizo la wengio tunaamini kuw mtu kuwa kiongozi ni kwamba amekutangulia hata kwa akili ndogo ya kubainisha kipi ni pumba na upi ni mchele, huyo Vicent YES ni ukoo wa Mwl ni baba yake lakini hata leo ukimsimamisha kizimbani atoe ushahidi wa alichokisema atabakia kusema oh niliambiwa.... ah nilisikia ama watu walisema na pengine anaweza asitamke neno au kuishia kutoa machozi akijutia domo lake kutoa maneno hayo bila kushirikisha hata tu ubongo wake alioubeba mwenyewe. Naamini 1999 Vicent hakuwa amefikia umri wa kukakaribia kikao chochote kilichohusisha wakubwa hadi akabahatika kusikia hayo ambayo ameyaungaunga jukwaani WA-TZ / JF tuwe kweli Great Thinker so WE HAVE TO THINK T W I C E.
 
Walikwambia kuwa walishindwa? Au waliandaliwa washindwe?
Tatizo la kuamini mambo ya kijinga kijinga ndo kama hili.
Sasa mkuu leo ukiambiwa baba yako unayemuona SI baba yako, baba yako ni mimi hapa, ndo mambo ya kuambiwa hayo-we endelea kuamini hivyo!
 
Naona jitihada za kufunika kombe ni kubwa sana hapa. Ni mambo mengi tu ambayo hufunikwa tu ili yapite na mwisho wa siku walio kwenye mfumo waendelee kupeta tu. Mengi yalifukuliwa na Dk Slaa lakini mwisho wa siku akaambiwa kuwa ni udaku tu, mwisho wa siku mambo yakawa hadharani. Kwani kuna ubaya gani tukijua uppande wa prof mwakyusa? Acheni kupuuzia mambo fulani fulani
 
Ukisha amini conspiracy theories, the minimum you can do to your own intelligence capacity is at least have some proof.
The onus of proof rests ON YOU and not your perceived culprit,Prof Mwakyusa.
Na ndio maana nasema ukiamini upuuzi wowote, na ukauvisha shanga za kisiasa kupitia chama fulani, basi utaamini chochote.
Kama ulivyosema kukiwa na proof,Dr Slaa azitoe hadharani na kama zina ukweli, kwa nini tusiziamini kuliko half cooked allegations.
 
kuna ubaya gani kuhoji uadilifu wa mwakyusa katika hili sakata ambalo nae yumo ndani? Yeye kama daktari wa Mwalimu alichukua jitihada zipi kuona kuwa Mwalimu anapata matibabu sahihi na kwa wakati? Kwa nini Mwalimu augulie kitandani Butiama hadi kina Gachuma wawe na wazo japo la kumpeleka Nairobi? Kwa nini mwakyusa asionekane popote hapo katika mchakato wa matibabu ya Nyerere? Kwa nini tusiamini kuwa mwakyusa ni mpuuzi? Kwa nini tusiamini kuwa ana maswali ya kujibu? Uzuri jf ni pana sana na majibu utayapata hapa
 
This line of argument defies logic.
At any rate it is both nonsensical and laughable.
Raia Fulani piga kampeni ili Prof Mwakyusa afukuzwe kazi na mwajiri wake, au Kama wanvyofanya waasomi, andika kitabu ukieleza synopsis yako ukieleza Yale unayofikiri yalitendeka.
Vincenti si yupo?, you can refer to him!
 
UKIMWI ni finyazo (abbreviation) tu. Ukimwi sio ugonjwa, hivyo na wewe utanue fikra zako. Turudi kwenye mada ya Mwakyusa

Aah bwana wewe unadhani sifahamu kuwa ukimwi ni ukosefu wa kinga mwilini? Mimi nimetanua fikra zamani na ninasoma sana tafauti na nyinyi munaoamini vitu bila ya hata kutafuta elimu zaidi.
 
Bibi nawe .... shikamoo!

Ninapita tu ... ila sijakuona siku nyingi sana.

Marahaba. Nipo mitaani ila nyinyi wajukuu zangu munanichosha sana kwa uvivu wenu wa kuchambua mambo. Kila leo munapakazia watu vitu, vibaya hivyo jamani.
 
This line of argument defies logic.
At any rate it is both nonsensical and laughable.
Raia Fulani piga kampeni ili Prof Mwakyusa afukuzwe kazi na mwajiri wake, au Kama wanvyofanya waasomi, andika kitabu ukieleza synopsis yako ukieleza Yale unayofikiri yalitendeka.
Vincenti si yupo?, you can refer to him!

kusema kuwa vincent si ukoo wa Nyerere na kusema kwamba mwakyusa hakuwajibika na afya ya baba wa Taifa, which defies logic? Pia Tungekuwa tunaishi kwa logic tu wala dunia isingekuwa hapa. Upo hapo? Kwako wewe logic ni nini?
 
Ah hapa naona kuna mtu mwenye akili iliyopevuka.
Katika mada nzima sijaona hata mtoa mada amefafanua kwa utafiti wake nini kimemwua Mwalimu.
Watu wanaandika tu dhana finyu za mawazo yao.
Tatizo kubwa la wana JF wengine wenye akili ndogo, ni kufikiri kuwa kila mtu ana akili ndogo kama za kwao.
Ningemuuliza mtoa mada juu ya Rais Mstaafu Mwalimu, Kama alikabidhiwa watumishi aliokuwa nao ofisini kwenda nao Butiama.
Ningemshauri afikiri kwanza kabla ya kujibu swali hili.
 
Sukupati mkuu, don't change thebgoal posts!
Allegations zako kuwa Pro Mwakyusa alimtelekeza Mwalimu bado hujai thibitisha kwa hard facts.
That why it's nonsensical.
Logic dictates that since tayari Butiama kulikuwa na Daktari by the name of Dr Malima(you said it) inabidi utueleze Funguo ya maisha aliyo kuwa nayo Prof Mwakyusa, tofauti na Dr Malima.
 
kwa mfano wako wa mwisho unataka tuamini kuwa Mwakyusa hasingiziwi sio? Jambo ambalo ni ujinga kwako, kwa mwenzio ni elimu tosha, so kuwa mpole na ukweli utajulikana hapa
Mfano wangu unaamsha ari ya WATU Kama wewe kuacha uvivu wa kutafuta ukweli(Kama unania) badala ya kukurupukia shutuma za kuungaunga. Sidhani kama unaouwezo wa kutathmini uwezo wangu wa kiakili kuweza kuniita mjinga.
 
wakati unasoma hapa unakuwa unafanya nini kingine? Soma kwa matao. Nimesema kuwa jambo ambalo ni ujinga kwako (mada husika) ni elimu tosha kwa mwenzio. Kwa lugha nyepesi zaidi mimi ninayehoji ndiye mjinga. Upo?
 
Sukupati mkuu, don't change thebgoal posts!
Allegations zako kuwa Pro Mwakyusa alimtelekeza Mwalimu bado hujai thibitisha kwa hard facts.
That why it's nonsensical.
Logic dictates that since tayari Butiama kulikuwa na Daktari by the name of Dr Malima(you said it) inabidi utueleze Funguo ya maisha aliyo kuwa nayo Prof Mwakyusa, tofauti na Dr Malima.

kwa hiyo prof mwakyusa aliteuliwa kwa neema tu kuwa daktari wa Nyerere? Kwamba hata Malima alikidhi vigezo vya kuwa daktari wa Nyerere? halafu umesoma thread vizuri? Halafu umeambiwa tuhuma ni hatia? Mbona EL hadi kesho anatuhumiwa na yuko around? Ni uongo kuwa hakuhusika na ufisadi? Kama hakuridhika na kuenguliwa uwaziri mkuu angepinga ngazi za juu zaidi, au kwenye mihimili mingine. Lengo nikuambie tu kuwa tuhuma zaweza kuwa kweli lakini ikashindikana kumuwajibisha mtuhumiwa bali ukweli ukajulikana.
 
Ah hapa naona kuna mtu mwenye akili iliyopevuka.
Katika mada nzima sijaona hata mtoa mada amefafanua kwa utafiti wake nini kimemwua Mwalimu.
Watu wanaandika tu dhana finyu za mawazo yao.
Tatizo kubwa la wana JF wengine wenye akili ndogo, ni kufikiri kuwa kila mtu ana akili ndogo kama za kwao.
Ningemuuliza mtoa mada juu ya Rais Mstaafu Mwalimu, Kama alikabidhiwa watumishi aliokuwa nao ofisini kwenda nao Butiama.
Ningemshauri afikiri kwanza kabla ya kujibu swali hili.

watumishi wa aina gani? Aina ya wapishi? Maana anayefanya kazi ya umma ni mtumishi wa umma
 
wakati unasoma hapa unakuwa unafanya nini kingine? Soma kwa matao. Nimesema kuwa jambo ambalo ni ujinga kwako (mada husika) ni elimu tosha kwa mwenzio. Kwa lugha nyepesi zaidi mimi ninayehoji ndiye mjinga. Upo?[/QUO
Nimekusoma bila kufanya kitu kingine. Naamini wewe sio mjinga. Baada ya kuachana na kutoa "misifa" unaushahidi wa kitaalam kwamba Prof. Mwakyusa alimpuuza mgonjwa wake? Achana na hadithi za watu...kwa kukusaidia JE Mwalimu alikua na appointment au Routeen check up ambayo haikufanyika kwasababu Daktari wake "alimpuuza"?
 
This line of argument defies logic.
At any rate it is both nonsensical and laughable.
Raia Fulani piga kampeni ili Prof Mwakyusa afukuzwe kazi na mwajiri wake, au Kama wanvyofanya waasomi, andika kitabu ukieleza synopsis yako ukieleza Yale unayofikiri yalitendeka.
Vincenti si yupo?, you can refer to him!
Acha utoto wewe, hujui kitu, usirukie mambo yanayokuzidi kimo. Ukweli una tabia mbili kuu, kwanza haukubali kuzikwa hivi hivi, sometime it will have to raise its ugly head and when it does, belive me, the guilty tremble! Pili ukweli hauamki peke yake, huamsha na mengine mengi yaliyo machungu zaidi. Kijana, jitihada zako katika hii mada ni dalili tosha kwamba labda kwa namna fulani huo ukweli unawagusa wengi, waliomo na wasiokuwamo.

Pole pole woga waliokuwa nao wengi umeanza kutoweka na taratibu watu wanajitokeza kueleza yale wanayoyajua na mpaka sasa ni rasha rasha tu. Mvua zenyewe za masika bado na tayari Mkapa kwa kutambua hatari ya uropokaji wake anahangaika kutafuta suluhu, no it is too late for that now. Kama alivyosema Shakespeare katika tamthiliya yake ya Macbeth, manukato yote ya Arabia hayawezi kuusafisha mkono wake Mkapa, kalikoroga na asubiri kulinywa.

Unauliza eti, where is the evidence? Na mimi nikuulize, unapata wapi uhalali na ujasiri wa kukanusha jambo usilolijua? Unawatetea watuhumiwa wewe kama nani au umetumwa na nani? Mkapa ale kushiba ashibe masopakyindi, Mkapa atuhumiwe lakini utetezi atoe masopakyindi, Mkapa achomwe mkuki damu avuje masopakyindi...who the hell is masopakyindi? Kwanza umekiri kuwa hujui chochote, sasa pilipili usioila yakuwashiani? Acha hizo.
 
..Prof.Mwakyusa alikuwa DG wa Muhimbili, na wakati huohuo akiwa daktari wa Mwalimu.

..labda majukumu yake ya u-DG yalimlazimisha a-delegate jukumu la uangalizi wa afya ya Mwalimu, kwa huyo Dr.Malima(?).
 
Acha utoto wewe, hujui kitu, usirukie mambo yanayokuzidi kimo. Ukweli una tabia mbili kuu, kwanza haukubali kuzikwa hivi hivi, sometime it will have to raise its ugly head and when it does, belive me, the guilty tremble! Pili ukweli hauamki peke yake, huamsha na mengine mengi yaliyo machungu zaidi. Kijana, jitihada zako katika hii mada ni dalili tosha kwamba labda kwa namna fulani huo ukweli unawagusa wengi, waliomo na wasiokuwamo.

Pole pole woga waliokuwa nao wengi umeanza kutoweka na taratibu watu wanajitokeza kueleza yale wanayoyajua na mpaka sasa ni rasha rasha tu. Mvua zenyewe za masika bado na tayari Mkapa kwa kutambua hatari ya uropokaji wake anahangaika kutafuta suluhu, no it is too late for that now. Kama alivyosema Shakespeare katika tamthiliya yake ya Macbeth, manukato yote ya Arabia hayawezi kuusafisha mkono wake Mkapa, kalikoroga na asubiri kulinywa.

Unauliza eti, where is the evidence? Na mimi nikuulize, unapata wapi uhalali na ujasiri wa kukanusha jambo usilolijua? Unawatetea watuhumiwa wewe kama nani au umetumwa na nani? Mkapa ale kushiba ashibe masopakyindi, Mkapa atuhumiwe lakini utetezi atoe masopakyindi, Mkapa achomwe mkuki damu avuje masopakyindi...who the hell is masopakyindi? Kwanza umekiri kuwa hujui chochote, sasa pilipili usioila yakuwashiani? Acha hizo.
Pole sana kwa jina kubwa kama Mag3 kuungana na small time thinkers.
Allegations ZOTE humu lazima ziwe na facts,irreputable facts.
Hot air. Foul as it is, never stands.
Na wewe unashauriwa umuone Vincent ili uje na hizo facts ili tukuamini.
Hakuna ***** utakabadilisha ukweli huo unless you are also hiding something.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom