Nini kilimuua Profesa Hubert Kairuki?

Miwaya.
 
Sasa watu wasife jamani?
Itoshe kushuhudia jina lake likiishi sambamba na maono yake. Wengine tupo hai lakini majina yetu yalijifia siku nyingi.
 
Huyo ndo mume wa Angera Kairuki?
Angela Kairuki ni mke wa Balozi Mbelwa Kairuki, wa Tanzania, Uingereza

Balozi Kairuki ni mtoto wa Marehemu Prof Kairuki na Dr Koku Kairuki

Mama Koku Kairuki ni mwenyekiti wa Bodi

Dada yake mkubwa Dr Clememtina Kairuki pia yupo hapo anasimamia hospital ya Kairuki IVF, Bunju

Wana dada yao mwengine Sima ni mwanasheria wa hospital na chuo chao Kairuki University

Kaka zake wawili Dr Muga Kairuki anasimamia Kairuki pharmaceutical, Kibaha na Dr Nkamera Kairuki ni physician hapo hospitalini kwao

Balozi Mbelwa yeye ni mjumbe wa bodi na alishafanya kazi hapo 99-2001 kabla ya kuingia serikalini, kipindi mzee wao anaumwa mpaka anafariki
 
Ongeza pia Dr Ferdinand Masau daktari bingwa wa moyo,alifanyiwa finish akafilisiwa hatimaye akakata moto,very sad
 
Aiseee
 
Hapo kwenye duniani mhh😝
 
Sina hakika (Nadharia yangu ya uzoefu wa mwanaye ambaye ni Dkt Yupo hapo hospital kama Dkt), inawezekana huyu Mzee alikuwa tapeli yaani alimtapeli mtu akamtanguliza. Huyo mtoto wake ambaye ni Dkt hapo hospital ni bonge la tapeli, sema jina simkumbuki ni wa kike sura mbaya kama ya Baba yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…