Ahaa basi ndo Yale yale.wanaume tunakufa mapema,tunaacha Mali Kwa majambazi na watoto wao wafaidiyupo na ndio mmliki wa hospital, kama mkurugenzi mtendaji
Kivip mkuu π€Ahaa basi ndo Yale yale.wanaume tunakufa mapema,tunaacha Mali Kwa majambazi na watoto wao wafaidi
Prof Hubert Kairuki, alikuwa ni Daktari wa Binadamu Bingwa wa Magonjwa ya Akina Mama mwenye maono ya mbali. Nakumbuka kabla ya kuanzisha Hospitali alikuwa akipiga part time katika pale Burhani iliyopo mtaa wa Kaluta.1. Mheshimiwa Prof Kairuki ndie mwasisi wa Hospitali Maarufu nchin na duniani kwa TIBA na MAFUNZO kwa fani za utabibu. Nilitaka kufahamu je nini sababu ya kifo chake?.
2. Je ni ajali ya ghafla? Kama ni ugonjwa ilikuaje bingwa katika fani ya utabibu kiwango chake hakupata matibabu yenye ubora kwa haraka?
**Hakika ameacha taasisi imara ya kupigiwa mfano.
Pumzika kwa amani Profesa
hahahahahaha,dahAhaa basi ndo Yale yale.wanaume tunakufa mapema,tunaacha Mali Kwa majambazi na watoto wao wafaidi
naam na sasa ana Hospital pamoja na chuo cha uuguzi na udaktari ,Herbert kairuki memorial universityProf Hubert Kairuki, alikuwa ni Daktari wa Binadamu mwenye maono ya mbali. Nakumbuka kabla ya kuanzisha Hospitali alikuwa akipiga part time katika pale Burhani iliyopo mtaa wa Kaluta.
Na hyo hospitali ilipoanza ilikuwa katika jengo la ghorofa 1 na nakumbuka 1987 nilihudumiwa na Prof Mselle wa BIochemistry akiwa ni registrar.
Hatimaye ndoto zake zimetimia, safari ya miaka 39 iliyopita
Vision yake ilikuwa kubwa mno. Kuna msemo wa VIsion is the art of seeing the unseen.naam na sasa ana Hospital pamoja na chuo cha uuguzi na udaktari ,Herbert kairuki memorial university
Kwani mke yeye bado yupo hai?Unataka kusema ali mmachame sio maake ndipo akili za baadhi ya wapuuzi wa jeifu cc min -me Seran binti kiziwi leo dada
Hongera kwa kazi nzuri Kairuki
Yupo hai ndiyoKwani mke yeye bado yupo hai?
Angalia matajiri wengi waliokufa wake zao wapo.alafu watoto sio ndugu zetu.ni ndugu wa mama zaoKivip mkuu π€
Majibu na Shuhuda kama hizi ndiyo zinatakiwa hapa.Prof Hubert Kairuki, alikuwa ni Daktari wa Binadamu Bingwa wa Magonjwa ya Akina Mama mwenye maono ya mbali. Nakumbuka kabla ya kuanzisha Hospitali alikuwa akipiga part time katika pale Burhani iliyopo mtaa wa Kaluta.
Na hiyo hospitali yake ilipoanza ilikuwa katika jengo la kawaida la ghorofa 1 na nakumbuka 1987 nilihudumiwa na Prof Mselle wa BIochemistry akiwa ni Registrar.
Hatimaye ndoto zake zimetimia, safari ya miaka 39 iliyopita
Mkewe akiwa Senior Nurse pale Muhimbili walihakikisha wanasomesha watoto ambao kwa sasa chini ya uangalizi wa Mama na Bodi imara wamefanya mambo makubwa mno.Mfano Bora kabisa kwa jamii yetu namna ya kuendesha taasisi
Watoto hawakugombea "kuuza Kila mtu afe na chake"
Siwezi babaanguEeeeh mamamangu naomba usije ni-machame bure π
Hakupaswa kufariki?
Namkumbuka vizuri kabisa, alikuwa mtu muungwana sana mwenye huruma na hekima sana. Alikuwa na Mercedes Benz nyeupe left hand drive.Majibu na Shuhuda kama hizi ndiyo zinatakiwa hapa.
Kwa niaba nashukuru mkuu