..Kassim Manara alicheza Australia miaka ya mwishoni mwa 80 mpaka mwanzoni 90. hakuwa ***** kama Boban ukizingatia alienda kule na umri ulikuwa umesogea sana lakini wazungu walimkubali vile vile.....naomba anyone who knows,aniambie nimchezaji gani tanzania,amewahi cheza proffessional football nje na akawa a success-maana naona local press zetu uwa zina wa big up and in the end it always ends up in tears.Hao waliocheza arabuni hatuwahesabu maana a player past his prime in europe ndio huenda cheza mpira arabuni
mpira ulaya mgumu.....kuanzia mazoezi,diet na life style.
mazoezi:btn 6-10am imagine winter time,winter ya sweden up to -10s sasa ndugu yetu katoka tz-dar avrg temp 27c ataweza??na mazoezi mara hadi 3 kwa siku plus more hrs in the gym.
diet:no burger,no chips vumbi,no pizza yaani vyakula vyote tunavyoona vinono kwa pro.footballer ni mwiko,msosi wa kawaida wa pro-baller ni pasta kwa kwenda mbele....sasa ndugu yetu huyu kazoea chips,mayai kuku,pilau,wali na mboga tatu ukamwambie ashindie plain pasta ataweza?
life style:life style ya pro fooballer haina tofauti na ya mwanafunzi wa bweni,kuna curfew[ulale muda fulani na kwa muda fulani],no clubbing/drinking, ila kwa ruhusa maalum,bangi,cocaine can result to a long ban+fine......imagine mchezaji anapata £50,000/week halafu anaambiwa hana ruhusa ya kujirusha....
kwa kweli mpira ni mgumu sana na unahitaji mtu awe na determination ya hali ya juu kufanikiwa,bangi na ukichwa panzi lazima uchemshe.....
wapendwa
majuzi nilimsikia kibonde wa clouds fm,kwa kweli kama mtanzania mstaarabu asingeweza kuongea mambo ya aibu kama yale..cha kushangaza alikuwa akimwongeelea
mchezaji Boban zaidi ya nusu saa na kusema mh alirudishwa kutokana na
kumiss majaaniii kama mjuavyo aka...bangi...sijui kama ni kweli jamaa
alifikia kusema jamaa ana akili za majaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaniiiiiii
baadae ama mwisho akasema boban kwa kweli ana matatizo akashauri
ndumbaro asichukue wachezaji wanaovuta majaniiiiiiiiiiiiiiii watamtia hasara
kazi ipo......
swali linabaki je majani yameumbwa na mungu na kama yameumbwa na mungu
JE MUNGU AMEUMBA VIBAYA DUNIAN...NA KAMA SIO je ni atizo letu kutumia
majani???
kazi kwetu
.....niliacha kusikiliza Clouds FM muda mrefum uliopita baada ya kugundua ni Radio inayowa-target teenages na hasa kipindi cha Ephraim Kibonde pale jioni maana huwa anakosa staa kabisa. Huyo shoga mwingine Kapiteeeeeni anapokuwa anamchekea basi yeye Kibonde ndio anaona misifa na kuzidi kumwaga pumba zake. Yes, freedom of speech iwe na mipaka yake! in fact yeye ndie aliyenifanya hata ku-delete frequency za hii station kwenye radio yangu maana ni majungu, umbea, na fitina tupu. sioni kitu constructive.
soka letu la bongo lina mambo..kama sio kustua "majani" basi lazima "mkatemewe mate na sangoma"
sisi hatujui kama boban anakula hiyo dawa, labda huyo anayesema atuthibitishie kama ana uhakika.
kinachonishangaza mimi ni huyo mchezaji kutupilia mbali hiyo chance ya kuendeleza kipaji chake, hata mi sielewi wajameni.
MMh! sasa huyu bwana mdogo bangi aliipataje???
Nadhani unachosema ndio ukweli. Waandishi wafuatilie tu watapata ukweli.Hakuna mchezaji wa bongo anayetupilia mbali chances kama hizi, huyu kafulia tu viwanjani huko anakuja huku na habari za "sizitaki mbichi hizi"
Na waandishi wetu wasivyojua kufuatilia habari wanameza kila kitu, bila hata kuchunguza kwa email.