Nini kilikwamisha Meli kubwa kutia nanga bandari Mtwara?

Au wewe fikiria meli iliojaa magari 300, 200 ya dar,50 transit,48 mikoa mingine na 2 ya mtwara. Kiuchumi ikoje hio?

~~~>>>>Mtwara pesa zao ni za kununulia Soda na kuwanywesha Mbuzi...... Hawana akili za kununua gari.
 
Kama ulisoma shule ya msingi miaka ya 90 usingeuliza swali hili. Tulijifunza kuwa BANDARI YENYE KINA KIREFU ZAIDI AFRIKA MASHARIKI NI YA MTWARA. Hili swali nilikuwa silikosi kwenye mtihani. Kabla hawajaleta vimasomo vyenu hivi sijui maarifa ya jamiii, sijui stadi za kazi...

Waliamua tu kutoleta meli kubwa.
Naunga mkono hoja. Enzi hizo Jografi ni ya ukweli wacha maarifa ya jamii. Hata Siku hizi watu wengi hawajui kupika kwa sababu hawasomi sayansikimu. Matokeo yake wanabaki kuweka nyanya na mafuta kibao wakidhani ndo mapishi.
 
Au wewe fikiria meli iliojaa magari 300, 200 ya dar,50 transit,48 mikoa mingine na 2 ya mtwara. Kiuchumi ikoje hio?
Sioni hoja, maana kuna wakati Dar ilielemewa na mizigo kiasi kwamba hizo gharama za kusafirisha zinakuwa balanced na gharama za kukaa muda mrefu bandarini.
 
Licha ya uasili wa Bandari ya Mtwara lazima mjue kuna mengine ya ziada yalifanyika kuiwezesha bandari kupokea meli kubwa,
Serikali ya awamu ya nne inahusika sana.
jitihada zilifanywa for nothing mlango si mlango kama hutofunguliwa au kuachwa wazi
 
Meli kubwa iliyobeba magari ya Dangote imetia nanga bandari ya mtwara,kiasi kwamba imeshangaza Dunia kuona kwamba,kumbe mbali ya bandari ya Dar, Tanzania tuna bandari nyingine yenye uwezo wa kuingiza meli kubwa zaidi.

Nini kimefanya bandari hii kutotumiwa na meli kubwa kwa miaka yote hii?

Moja ni uchumi duni wa mikoa ya kusini na pili ni kukosekana kwa ubunifu miongoni mwa watawala wetu, na kichekesho ni pale walipoanza mpango wa kizembe na kifisadi kutaka kujenga bandari mpya ya Bagamoyo badala ya kuiendeleza Mtwara yenye kina kirefu cha asili!!!
 
Sioni hoja, maana kuna wakati Dar ilielemewa na mizigo kiasi kwamba hizo gharama za kusafirisha zinakuwa balanced na gharama za kukaa muda mrefu bandarini.
Huwezi kuona hoja kwasababu wewe umeng'ang'ania gharama za kutoa gari moja. Mimi nazungumzia impact kiuchumi,mazingira kwenye kusafirisha magari 300 vs kusafirisha magari 50.
 
Kosa letu ni kutotangaza fursa tulizo nazo.
Mzigo wa Msumbiji na Malawi unaweza kushushwa Mtwara.
Bandari ya Kilwa inaweza kuboreshwa ili mizigo ya Zambia,DRC lubumbashi ikapita Kilwa.
Bandari ya Tanga inaweza kupita mizigo ya Burundi,Rwanda na Mashariki ya Kongo.
Viongozi wamekosa ubunifu!!!(TANGAZA TANZANIA,KILA KONA NI FURSA!)
 
Moja ni uchumi duni wa mikoa ya kusini na pili ni kukosekana kwa ubunifu miongoni mwa watawala wetu, na kichekesho ni pale walipoanza mpango wa kizembe na kifisadi kutaka kujenga bandari mpya ya Bagamoyo badala ya kuiendeleza Mtwara yenye kina kirefu cha asili!!!
Sababu ya kwanza si kweli, sababu ya pili nakubaliana na wewe.
Sera mbovu za nchi na watawala ndicho chanzo kikuu. Hata kama wanakusini wangekua matajiri, lets assume wana kaskazini walishaleta meli kubwa hapa Dar es Salaam kwa mfano? Kwa hiyo hilo la wananchi kuwa maskini halina uhusiano wowote, kwani hata kama ingekua ni Mkoa gani, kama serikali haitoi kipaumbele sahau. By the way meli kubwa huletwa na wafanyabiashara ambao siyo wa kusini wala mashariki wala magharibi bali ni wa eneo lolote.
 
Sasa utaziona nyingi Mtwara, hiyo bandari iliboreshwa na Kikwete.

Na kwa jitihada za Kikwete alizozifanya bila kuchoka kutuletea watafuta gesi na mafuta tutashuhudia mengi mapya kwa Mtwara na Tanzania nzima kwa ujumla.

Kikwete tutakukumbuka daima.
Day we mdada Huyo MTU una interest nae huchoki kumtaja
 
Sababu ya kwanza si kweli, sababu ya pili nakubaliana na wewe.
Sera mbovu za nchi na watawala ndicho chanzo kikuu. Hata kama wanakusini wangekua matajiri, lets assume wana kaskazini walishaleta meli kubwa hapa Dar es Salaam kwa mfano? Kwa hiyo hilo la wananchi kuwa maskini halina uhusiano wowote, kwani hata kama ingekua ni Mkoa gani, kama serikali haitoi kipaumbele sahau. By the way meli kubwa huletwa na wafanyabiashara ambao siyo wa kusini wala mashariki wala magharibi bali ni wa eneo lolote.
Kama unataka kusema uchumi wa mikoa ya kusini na mikoa ya kaskazini ni sawa! Sina sababu ya kubishana na
wewe. Meli huwa haziendi mahali kutalii bali kushusha na kuchukua cargo, meaning kama mahali kilimo cha biashara ni duni, hakuna viwanda vikubwa, disposable incomes ziko low meaning purchasing power iko chini sana, hata biashara ni duni sana obvious meli hazina shughuli eneo kama hilo!
 
Muktadha wa meli kubwa kama hii iliyoleta magari ya Dangote yenye mita 200 na deki kadhaa, kutokutia nanga hapo zamani hakuna uhusiano na umaskini au utajiri wa watu wa huko. Ike ni destunation ya cargo tu. Vivutio vya huduma za TPA ndiyo pekee vingeweza kufanya meli kubwa zitie nanga. Haina uhusiano na utajiri au umaskini. Zipo meli kubwa kabisa ambazo zinabeba mazao kama korosho, tani kwa tani. Lakini haijafikia hii iliyobeba cargo ya gari hizi. Ukubwa wa mi hata kama Arusha au huko Kaskazin kungekua na bandari wangebeba kitu gani kwa mfano. Kama magari yanayokuja Dar ni wastan wa 300 na mengine hupita tu na safari hadi bandari nyingine.
Mantiki ya umaskini na utajiri hasa kwa Tanzania hii, sidhan kama kuna mtu wa Arusha ameleta meli kipekee yenye ukubwa. Sababu unayoitoa ni ya uongo kabisa. Ni TPA wenyewe ndiyo hawakutoa kipaumbele. Meli kubwa huwa na consignment ya zaidi ya nchi moja, hivyo iwe ni Dar au Tanga au Mtwara, meli haiji kwa ajili ya nchi moja, na hapo hoja yako inakosa ukweli.
 
Sasa tani za korosho kwa mfano, zinaweza kushindana na kahawa? Viwanda gani unataka kudanganya hapa? Kipo mkoa gani ambacho ni kikubwa kwa mfano Arusha na Moshi? Kiwanda cha Dangote ambacho kipo Mtwara kina thaman ya Tsh 1.2tn/- ambao ni hela nyingi kuliko hata tajiri yeyote wa Tanzania au sawa na tajiri wa Tanzania. Wakati kinajengwa zilikuja meli kubwa zilizoleta mitambo, pia wakati wa ujenzi wa bomba la gesi ilitumika bandari ya Mtwara, makaa ya mawe ya Dangote kutoka South Afrika alikua anatumia bandari ya Mtwara, makampuni ya mafuta na gesi yalitumia na yanatumia bandari ya mtwara. Meli zote hizo ni kubwa kabisa lakini bado hazijafikia ukubwa wa meli hii, na meli zote hizo zilileta bidhaa kwa ajili ya viwanda kama cha Dangote ambacho ni kikubwa nadhan kupita kiwanda chochote, lakini bado meli hii ni kubwa, hoja yako inakosa uhalali.
Uliza ni tani ngapi za korosho, ufuta, karanga na mbaazi hulimwa,kuuzwa na kusafirisha nje kupitia bandari ya Mtwara? Leo hii kuna meli kubwa ya China Shipping iko Bandarini Mtwara. Uliza ndugu, kama hujafika Mtwara za kuambiwa, fanya ziara angalau uone semi trailer zinavyosomba Korosho kama daladala pale bandarini.
Kwa taarifa tu ukiwa na gunia tatu za Korosho tayari ni 1m/-!
 
Ni kweli hata hiyo meli ya morning composer inayomilikiwa na kampuni ya EUKOR ukiacha malori 600 ya Dangote ilikuwa na magari zaidi ya 6000 ambayo yatashushwa Dar na Mombasa.

Moja Rejea heading ya mleta mada na pili hiyo pesa ya korosho, ufuta nk huenda wapi; mbona haiko relected katika maisha ya watu kusini kama ilivyo kaskazini?! Mtu akifika Mtwara na Lindi first impression unayopata ni kwamba hapa ni mahali "duni", dunia imepaacha nyuma sana! Kumbe ndio maana watumishi wa umma wengi mikoa hiyo inakuwaga last choice kwenda kufanyia kazi; kwa kifupi hakuna kitu cha kumvutia mtu kwamba this is a place to be.kama ilivyo Dar, Arusha, Kilimanjaro, Mwanza nk nk!!??Ukiondoa matumaini mapya yaliyotokana na ujio wa Dangote, mafuta na gesi na "Samaki nchanga"!!
 
Mjadala ni meli kubwa, uhusiano wa domestic cargo ya kusini na hiyo ya kaskazini kuweza kuleta meli kubwa huku ukijua meli huwa inashusha tu baashi ya mizigo na kuendelea na safari, haina uhusiano na utajir au umaskini. Ndiyo hoja hapa.
 
Meli kubwa iliyobeba magari ya Dangote imetia nanga bandari ya mtwara,kiasi kwamba imeshangaza Dunia kuona kwamba,kumbe mbali ya bandari ya Dar, Tanzania tuna bandari nyingine yenye uwezo wa kuingiza meli kubwa zaidi.

Nini kimefanya bandari hii kutotumiwa na meli kubwa kwa miaka yote hii?
Kwani hujui kuwa Bandari ya mtwara ndo ina kina kirefu... Kwanza ya dar ya kuunda
 
Sasa utaziona nyingi Mtwara, hiyo bandari iliboreshwa na Kikwete.

Na kwa jitihada za Kikwete alizozifanya bila kuchoka kutuletea watafuta gesi na mafuta tutashuhudia mengi mapya kwa Mtwara na Tanzania nzima kwa ujumla.

Kikwete tutakukumbuka daima.
Wewe NA huyu kikwete!!!!!
 
Moja Rejea heading ya mleta mada na pili hiyo pesa ya korosho, ufuta nk huenda wapi; mbona haiko relected katika maisha ya watu kusini kama ilivyo kaskazini?! Mtu akifika Mtwara na Lindi first impression unayopata ni kwamba hapa ni mahali "duni", dunia imepaacha nyuma sana! Kumbe ndio maana watumishi wa umma wengi mikoa hiyo inakuwaga last choice kwenda kufanyia kazi; kwa kifupi hakuna kitu cha kumvutia mtu kwamba this is a place to be.kama ilivyo Dar, Arusha, Kilimanjaro, Mwanza nk nk!!??Ukiondoa matumaini mapya yaliyotokana na ujio wa Dangote, mafuta na gesi na "Samaki nchanga"!!
Nimefuatilia post zako kwanza nimegundua yawezekana una inferiority complex ww na wivu uliopitiliza. Akili za namna hii ni za watu walioshindwa kimaisha. Kaskazini ambayo ipo Tanzania hii unaizungumza kama Kipande cha ujerumani. Maisha ya watanzania ni almost the same, kuna watu wana maisha mazuri sana Mtwara kuliko hata Arusha & K'njaro. Nimekaa mikoa mingi Tanzania (kulingana na nature ya kazi yangu). Suala la umaskini wa wanakusini si sababu iliyoifanya bandari ya Mtwara isitumike na meli kubwa, hii tunaita error in thinking ni Sawa na kusema kiwanda cha Dangote hakikustahili kujengwa Mtwara kwasababu watu wake ni maskini hawana uwezo wa kununua cement, watu kama wewe yaonesha unausemea utajiri wa wenzio, ww ni very poor. A richman always is humble! Hajikwezi.
Niliishi Mtwara miaka Fulani naipenda na kuikumbuka kuliko nilivyoishi Arusha.
Nenda kajionee mwenyewe kama huna nauli nipm nikutumie.
 
Back
Top Bottom