Nini kiliisibu Tusker Project Fame?

Nini kiliisibu Tusker Project Fame?

Thad

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2017
Posts
13,402
Reaction score
31,658
Ni moja ya show zilizokuwa zinabamba kweli Afrika Mashariki, imekumbwa na nini mbona haisikiki tena?
images%20(3).jpeg
 
Tusker Project Fame ilikuaga nzuri sana. Imenijia picha ya Judge Hermes from Tanzania
Umeona eeeh! Natamani urudi hata leo.
Mimi nilikuwa shabiki wa judge Ian[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Namkumbuka yule Mzee anavaa miwani Mkenya. Alikua rude balaa. Hermy B ndo alikuaga mpole Kama sura yake
Ian huyo. Nilikuwa nampenda anavyowachana live bila kumung'unya maneno
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom