Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,587
- 81,557
[emoji41]Namkumbuka yule Mzee anavaa miwani Mkenya. Alikua rude balaa. Hermy B ndo alikuaga mpole Kama sura yake
[emoji41]Namkumbuka yule Mzee anavaa miwani Mkenya. Alikua rude balaa. Hermy B ndo alikuaga mpole Kama sura yake
Huyo Sasa.. Alikua na gubu Kama wifi[emoji41] View attachment 892395
Kumbe huko nako nilipitwa na mambo mazuri[emoji848]
Mkata shombo judge Ian mbugua.Tusker Project Fame ilikuaga nzuri sana. Imenijia picha ya Judge Hermes from Tanzania
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] AiseeeHuyo Sasa.. Alikua na gubu Kama wifi
Hermy B atapata shida Sana kwa huo msiba wa Pancho. Sema atapatikana Pancho mwingine tuMkata shombo judge Ian mbugua.
Hammy B kwa sasa kapoteza kinanda chake, faida yake R.I.P pancho latino
Ngumu sana atajaribu kumfikia ila hatoweza pancho ana tone talent anagusa vinanda balaaaHermy B atapata shida Sana kwa huo msiba wa Pancho. Sema atapatikana Pancho mwingine tu
HahaahaahaNakumbuka Hemed PhD alikinukisha kwa stage na forever ya P Square nikajua ngoma yake bwana