baada ya kutua juu ya mgongo wa fundi kisima fundi yule alijua ni nguvu ya maji na kuruka nje ya kisima kuyapisha maji
Alisikia kishindo kikuu kisimani akajua ni giant frog kaingia,alipocheki vizuri,masikiniiiiii.......!?hahahahhaa umenivunja mbavu,we kweli great thinker.halafu fundi alipoyapisha maji nini kilitokea???
Alisikia kishindo kikuu kisimani akajua ni giant frog kaingia,alipocheki vizuri,masikiniiiiii.......!?
Lazima fundi alitoka nduki akidhani jamaa mchawi.......
alafu baada ya kutua juu ya mgongo wa fundi kisima ikawaje?
Dah....!!Hapana wakuu, jamaa alivyotua juu ya mgongo wa fundi lazima alikua kavua nguo thn kafumba macho, Fundi sindio akajua popobawa, cjuw nn kiliendelea sasa......!!
Hapana wakuu, jamaa alivyotua juu ya mgongo wa fundi lazima alikua kavua nguo thn kafumba macho, Fundi sindio akajua popobawa, cjuw nn kiliendelea sasa......!!