Nini kilichotokea?????????????????

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,223
Jamaa moja alikuwa na mazoea ya kwenda kuogelea kwenye kisima kimoja kikubwa kilichotengenzwa kwa sakafu kila upande.Kwa kawaida yake akifika mita 30 kutoka kisamani anakimbia kwa nguvu na kurukia kwenye kisima kwa nguvu na kuanza kuogelea,siku moja kama kawaida yake alipofika karibu na mita 30 akaanza kukimbia bila kusoma bango iliyoandikwa ''kisima inafanyiwa matengenezo tumeondoa maji'' halafu akaruka kwa nguvu kwenye kisima,,,,,,,,, teh teh teh mi sijui kilichotokea.
 
Hapana wakuu, jamaa alivyotua juu ya mgongo wa fundi lazima alikua kavua nguo thn kafumba macho, Fundi sindio akajua popobawa, cjuw nn kiliendelea sasa......!!
 
Hapana wakuu, jamaa alivyotua juu ya mgongo wa fundi lazima alikua kavua nguo thn kafumba macho, Fundi sindio akajua popobawa, cjuw nn kiliendelea sasa......!!

fundi macho yakamtoka fasta akarudisha mikono kuhakisha usalama wa masuburi yake.sijui nini kiliendelea
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom