Nini kili inspire Uwe na Jina hilo humu JF?

Nini kili inspire Uwe na Jina hilo humu JF?

Dah we acha tu ni story ndefuuuuu iliyojaa msisimko mtupu.
 
aisee kitu cha fom 2 hcho log10=1 ilinipaga shida...n pia am slim so ka 1 vile...lol
 
Habari wana jamvi?
Mara nyingi nikisoma threads na comments za watu humu huwa lazima niangalie jina la muhusika ,nini kilikufanya uwe na username ulonayo?
Ni jina la role model wako?Ni kitu unachokipenda? Ni kifupi cha jina lako?
Kwa kuanzia tu mimi Candy Kisses ni wimbo niupendao sana ndo maana ni user name yangu.

Hii tumeijadili sana tu humu, mara ya mwisho ilikuwa mwezi uliopita.......
 
Katavi National Park,,,,,,,,,nadhani unaijua au umewahi kuisikia. au Katavi mkoa mpya. Ndio home.
 
Mkoa gani tafadhali, ili siku moja nitembelee huko.

kwamtoro ipo katika wilaya zamani ikitambulika kondoa kusini kabla aijaitwa Chemba. Ipo katika mkoa wa Dodoma na inapakana na Singinda. kwamtoro inakaliwa na mchanganyiko wa makabila mengi Waharabu, Wanyamwezi, Wanyaturu, Warangi na kabila lililo kubwa ni wasandawe. Karibu sana Katavi ila ukilowea kidogo tu, bila shaka katavi utapasikia kwenye taharifa ya habari. Hapana chezewa watoto wa kisandawe.

 
[SIZE=4 [B]kwamtoro[/B] ipo katika wilaya zamani ikitambulika kondoa kusini kabla aijaitwa Chemba. Ipo katika mkoa wa Dodoma na inapakana na Singinda. kwamtoro inakaliwa na mchanganyiko wa makabila mengi Waharabu, Wanyamwezi, Wangaturu, Warangi na kabila lililo kubwa ni wasandawe. Karibu sana Katavi ila ukilowea kidogo tu, bila shaka katavi utapasikia kwenye taharifa ya habari. Hapana chezewa watoto wa kisandawe.

[/SIZE
]

Ha ha ha haaah!! Kumbe ndio huko? Nitakaribia siku moja.
 
Back
Top Bottom