Nini kifanyike kukomesha biashara ya dawa za kulevya nchini?

Nini kifanyike kukomesha biashara ya dawa za kulevya nchini?

I'm in my black benz
Doin' cocaine with my black friends -juice wrld
Written by: Nathan Perez, Benjamin Joseph Levin, Magnus Hoiberg, Justin Drew Tranter, Sasha Sloan, Jarad Higgins

Juice Wrld alikua ni muimbaji tu ila hakuandika yeye, hakua anaimba kitu kinachomuhusu ni km character wa kwenye igizo
 
Hii nchi kuna sinaloa cartel kama ile ya el chapo
 
Kila mara tunasikia taarifa za ukamataji mkubwa, operesheni nzito na kampeni za kupambana na dawa za kulevya… lakini mitaani mtandao wake unazidi kuenea.

Je, tatizo ni udhaifu wa mifumo ya sheria? Ni viongozi hawawajibiki ipasavyo? Au kuna watu wenye nguvu wanaonufaika na biashara hii?

Kila siku tunavyonyamaza, vijana zaidi wanapotea, familia zinavunjika, na taifa linapoteza nguvu kazi.

Unadhani kawanini watu wanafanya hii biashara licha kuwa na adhabu kali?

Ukitaka kukomesha hapa maana yake unapambana na wauza unga magwiji wa marekani,ulaya na America ya kusini utaweza huo mpambano
 
Written by: Nathan Perez, Benjamin Joseph Levin, Magnus Hoiberg, Justin Drew Tranter, Sasha Sloan, Jarad Higgins

Juice Wrld alikua ni muimbaji tu ila hakuandika yeye, hakua anaimba kitu kinachomuhusu ni km character wa kwenye igizo
Ila we haupo serious

Huyo Jarad Higgins ni nani?
 
Mapoti wenyewe wakikamata muuzaji wanampa jamba jamba mpaka anatoa hela na bado wanazichukua na wanaziuza kwa cheap price kwa plugs wengine. Hii cycle haiwezi vunjika kirahisi.
 
Back
Top Bottom