Nini kifanyike endapo nyumba yako imeshika moto usiku mkiwa ndani

Safi kaka familia za kibongo hata mtu awe na uwezo wa kifedha kuweka tu hose reel nyumbani mtihani, kuna fire alarm kifupi kuna mengi ngoja niuandae uzi vizuri tuzidi pashana habari
 
Kama hiki ni cheap tu
 

Attachments

  • Screenshot_2020-08-25-17-58-07-785_com.alibaba.aliexpresshd.jpg
    102.3 KB · Views: 1
Jenga underground exit way ambayo itakua connected kwenye kila chumba so kikinuka unazama underground unasepa kiulaini kama le professor na crue lake kwenye Series ya Money heist.
 
.... ila vibaka sasa Victoire wanaweza kuhamia kufanya party kila week au mwezi

 
Hili mmelizungumzia wajumbe wengi lkn mmesahau suala la moshi linakunyima pumzi na kushindwa kuona mbele je ktk hili unafanyeje?
 
Badala ya darini zinapita sakafuni nyumba nyingi asaiv zinapigwa wiring kwa style hiyo
 
.... ila vibaka sasa Victoire wanaweza kuhamia kufanya party kila week au mwezi
Yote hiyo ni sababu ya umaskini,vijana ni wengi kuliko wazee na halafu watu wanaambiwa waendelee kuzaa katika dimbwi hili la umaskini. Vicious circle.
 
Reactions: BAK
Ulichoandika ni ukweli mtupu ndiyo maana nyumba zimekuwa na nondo chungu nzima milangoni na madirishani utadhani uko lupango.

Yote hiyo ni sababu ya umaskini,vijana ni wengi kuliko wazee na halafu watu wanaambiwa waendelee kuzaa katika dimbwi hili la umaskini. Vicious circle.
 
Siku hizi kuna design ya madirisha ya nondo au flat bars ya kufungua kwa ndani na show yake haina tofauti na lile fixed. Madirisha ya vyumba kadhaa yanaweza kuwa ya kufungua nusu hiyo nondo
 
Wengi wanaweka nondo madirishani sababu ya kuhofia wizi hasa huku kwetu uswahilini,
Maana licha ya kuweka ndondo lakini bado watu wanaibiwa hivi hivi, Kidukulilo aliwahi kuleta uzi akasema kuweka nondo ni uoga wa maisha lakini kiukweli ndio hali halisi ya jamii yetu kubwa,
Kiusalama si nzuri kwa majanga ya moto yanapotokea
 
Tunaweka Nondo kwa sababu ya wezi
 
Nenda kwenye maplastic unayoifadhia maji kajimwagie yote afu wakati moto unapambana kukausha maji uliyojimwagia we unapita kininja katikati ya moto
Ila kama hii mbinu ya kininja vile?. Ongezea hapo hapo vaa kabisa manguo mazito mazito,ikiwezekana jifunge blanket,halafu jitumbukize kwenye jaba la maji au jifungulie bomba,ukiwa unejifunga hilo blanket au koti,ikulowanishe tepetepe,halafu toka
 
Kibaya zaidi msipokuwepo home mlango wa chumban mnafunga.. sasa sijui majanga yanatokea mkiwepo tuu???
 
kuna nyumba nilipanga kulikuwa na hako kadirisha bhana..WEZI waliniibia mara 2 kwa kupitia kwenye hiko kidirisha..cjui walijuaje WASHENZI wale...ilibidi nimwambie baba mwenye nyumba aniruhusu niuchomelee tu hako kamlngo ka dirishan
 
Jenga underground exit way ambayo itakua connected kwenye kila chumba so kikinuka unazama underground unasepa kiulaini kama le professor na crue lake kwenye Series ya Money heist.
Huu ushauri unawafaa akina Mo sio sisi akina Mwamedi.
 

Tuna shida mbili tunazojaribu kukabiliana nazo: risk ya moto na ya intrusion ya vibaka. Solution muafaka inabidi izingatie hizi risks mbili. Probability ya kutembelewa na vibaka ni karibu 100%. Probability ya nyumba kushika moto, under normal circumstances, is far less than 100%.

Kwa sababu ya uhalisia huu, homeowners lazima wataweka nondo kuifanya intrusion ya vibaka kuwa ngumu, huku wakikubali kubeba kiasi fulani cha risk ya kushindwa kutoka pindi nyumba zikishika moto. Ili kupunguza hiyo risk ya kuteketea kwa moto ukiwa ndani, umuhimu wa kuwa na more than one exit door na vifaa vya kusaidia kudhibiti moto unakuwa bayana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…