Truth Teller
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 1,624
- 2,880
Ikiwa dharura imetokea kwenye hako ka chumba je?Kitu kingine ni kuweka mlango wa dharura kwenye dirisha. Unaweka kamlango kadogo kwenye grili labda la chumba cha baba na mama na unalifunga na kakufuli kadogo ambako kakipigwa hata nyundo kanaachia.Watu wote wambiwe ikitokea dharura wakimbilie kwenye hicho chumba.