Kwa Miaka Hiyo Ilikuwa Ni Maalum Kwa Kuwapigia Wale Walimu Wanoko Mashuleni na Nakumbuka Wakati Namalizia Darasa La Saba Oysterbay Primary School Mwaka 1992 Wanafunzi Tulikubaliana Kuwa Kila Mmoja Wetu Aje na Yai Viza Ili Baada Ya Sherehe Yetu tu Ya Kuagwa basi Tumrushie Mwalimu Wetu Mr. Nyagabona Kwa Kuwa Mnoko Kwetu na Kiongozi Wetu Alikuwa Ni Mtoto wa Mjini Ayoub Banzi Msela Mmoja Hivi Anayeishi Katikati Ya Protea Hotel na Kanisa La Mtakatifu Petro na Kilichotokea Mwalimu Nyagabona Akatonywa Hivyo Ukaanza Msako Wa Kuwasachi Wanafunzi Waliobeba Hayo Mayai Viza Hali Iliyopelekea Wengine Kuyatupa Juu Ya Dari, Wengine Madirishani na Wagumu Wengine Kama GENTAMYCINE Tukaona Isiwe Taabu badala Ya Kuhangaika Sijui Kuyatupa Nje na ktk Dari Ni Kupoteza Muda Hivyo Tukayameza Mazima Mazima. Chezea Kamanda Nyagabona Wewe??????????????????? Ila Tumetoka Mbali Jamani.......Nikikumbuka Huwa Nacheka Sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Utoto Bwana...............................