Nini kazi ya mayai viza?

Nini kazi ya mayai viza?

kama ni kwaajili ya kurogea kama mimi nisingempa aiseee. mimi huwa nayatupa fasta.
 
Kuna mtu ana visa naye so anataka akamrushie usoni si unajua harufu yake hayo yakipasuka???.
Yamtumika sana wakati wa utoto shuleni enzi hizo.
 
Atakuwa anataka kutengeneza body spray na perfume.
 
Mkuu,

Naona haya yameandikwa kiarabu!Ina maana yakiandikwa ki-China hayawezi kuwa na nguvu ya kuroga?

Nini siri ya kutumika kwa lugha ya kiarabu kwenye ULOZI?

ni siri ile ile iliyo katika dini ambayo mungu wake haongei lugha nyingine isipokuwa kiarabu.
 
ungemuuliza vizuri huyo jamaa angekupa majibu yakinifu mkuu
 
Acha upuuzi ww....hv hamuwezi kuongea bila kukashifu imani za watu?

kashfa iko wapi? kuloga mtu unahitaji kiarabu tu sio lugha nyingine, halafu eti kuna "mungu" naye hasikii lugha nyingine yoyote isipokuwa kiarabu, we unadhani coincidence? kingine hebu angalia waganga asilimia kubwa kama sio wote, wana imani ya mungu gani?
 
A Rotten Egg is produced by allowing an Egg to spoil. Unlike most foods which turn to Rot when they spoil, Eggs become Rotten Eggs. Like Rot, Rotten Eggs can be used to fertilize crops or as fuel in a Campfire or Fire Pit. Rotten Eggs can be used to craft Gunpowder, a powerful explosive which deals a lot of damage and can destroy most structures.

Source: Rotten Egg - Don't Starve game Wiki

Bibie, kwa nilivoelewa bandiko lako, lako, matumizi hayo ni katika nchi za kimagharibi, huku kwetu, matumizi ya mayai viza ni yapi?
 
kashfa iko wapi? kuloga mtu unahitaji kiarabu tu sio lugha nyingine, halafu eti kuna "mungu" naye hasikii lugha nyingine yoyote isipokuwa kiarabu, we unadhani coincidence? kingine hebu angalia waganga asilimia kubwa kama sio wote, wana imani ya mungu gani?

Huyo mungu anayesikia kiarabu tuu na si lugha nyingine nadhani ni wako tu....waulize wanaofahamu imani yao kabla ya kuropoka insanely. Na ndio mara yangu ya kwanza kusikia kuroga unahitaji kiarabu tu....naona kiko wideapread hasa, maana hata wa mitishamba nao watakua wanajua kiarabu (count it on sarcasm!!)
 
kazi ya mayai viza ni kutibua kampeni za CCM... mi najua hilo tu!!

popote utakapoona CCM wanapiga kampeni, tupia yai viza kama kumi hivi ukitokea mbali...

hapo utakuwa umesaidia kuikomboa nchi yako...
 
kazi ya mayai viza ni kutibua kampeni za CCM... mi najua hilo tu!!

popote utakapoona CCM wanapiga kampeni, tupia yai viza kama kumi hivi ukitokea mbali...

hapo utakuwa umesaidia kuikomboa nchi yako...

hahahahaha mbavu zangu
 
Yanakazi kuu mbili moja kuadhibiana kwani mmoja anaweza kutumia kumpiga adui yake mpaka limpasukie mbili kwa ajili ya ushirikina.
 
timu+kalu5.jpg

Habari.
Nimepigwa na butwaa sana leo hii.


Nilikua natoka katika banda langu la kuku,Mara akaja jamaa wa mtaani kwetu

,Huku akiniulizia kama nina mayai viza,Mayai ambayo yameshaatamiwa na kuku lakini hayakuanguliwa.

Nilipomuuliza anakwenda kuyafanyia nini,akaniambia ana kazi nayo,

Sasa ningependa kujua ni kazi gani mayai viza hufanya.?
Karibuni wadau mnifungue macho.

Kwa Miaka Hiyo Ilikuwa Ni Maalum Kwa Kuwapigia Wale Walimu Wanoko Mashuleni na Nakumbuka Wakati Namalizia Darasa La Saba Oysterbay Primary School Mwaka 1992 Wanafunzi Tulikubaliana Kuwa Kila Mmoja Wetu Aje na Yai Viza Ili Baada Ya Sherehe Yetu tu Ya Kuagwa basi Tumrushie Mwalimu Wetu Mr. Nyagabona Kwa Kuwa Mnoko Kwetu na Kiongozi Wetu Alikuwa Ni Mtoto wa Mjini Ayoub Banzi Msela Mmoja Hivi Anayeishi Katikati Ya Protea Hotel na Kanisa La Mtakatifu Petro na Kilichotokea Mwalimu Nyagabona Akatonywa Hivyo Ukaanza Msako Wa Kuwasachi Wanafunzi Waliobeba Hayo Mayai Viza Hali Iliyopelekea Wengine Kuyatupa Juu Ya Dari, Wengine Madirishani na Wagumu Wengine Kama GENTAMYCINE Tukaona Isiwe Taabu badala Ya Kuhangaika Sijui Kuyatupa Nje na ktk Dari Ni Kupoteza Muda Hivyo Tukayameza Mazima Mazima. Chezea Kamanda Nyagabona Wewe??????????????????? Ila Tumetoka Mbali Jamani.......Nikikumbuka Huwa Nacheka Sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Utoto Bwana...............................
 
Yanatumika kwenye tiba asili mkuu unayo nashida nayo sana
 
mayai viza ni bidhaa adimu na muhimu sana kwa waganga wa kienyeji, na yanauzwa bei nzuri, hata wewe waweza kuyahifadhi kwa ajili ya kuyauza hapo baadae....
kazi zake ndio hizo jamaa wamekwambia!
Kuna mtu anayahitaji?!
 
Back
Top Bottom