SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,270
Kukuambia akuambie mwingine sisi ndo tutoe maelezo? Majanga!Habari.
Nimepigwa na butwaa sana leo hii.
Nilikua natoka katika banda langu la kuku,Mara akaja jamaa wa mtaani kwetu
,Huku akiniulizia kama nina mayai viza,Mayai ambayo yameshaatamiwa na kuku lakini hayakuanguliwa.
Nilipomuuliza anakwenda kuyafanyia nini,akaniambia ana kazi nayo,
Sasa ningependa kujua ni kazi gani mayai viza hufanya.?
Karibuni wadau mnifungue macho.