Nini hutoa baada ya mtu kuzikwa

Nini hutoa baada ya mtu kuzikwa

Wee ni muongo, mwaka m1 hata jeneza bado halijashikwa na mchwa, hizi picha ni za kutunga hapa.
wewe unavojua wadudu wanatoka ardhini si ndio?? Kama ni hivyo sio kweli mtu akifaa hua mwili mzima unavimba sana , ukija kubasuka wale wadudu huanza kushambulia ngozi ikiwa tayari sehemu za ndani zimeshaliwa vibaya
 
Tena hapo zungumzia hawa wanaozikwa na jeneza afu wanafukiwa na udongo.

Hawa wanaojengelewa kwa saruji na malu malu ndo kabisaa, wanachelewa na kuchelewa tena kuharibika.
 
Mie sio nimesikia, hii ilitokea kwetu, ni baba angu mkubwa, kizazi ki1 na baba angu mzazi,

Baba mkubwa alizikwa wilaya nyingine, sasa ule usumbufu wa kwenda kufagilia na kuombea, ilibidi afukuliwe kule na aletwe kuzikwa ktk makaburi waliyozikwa ndugu wengi, ili iwe rahisi ktk kuzingatia kufagilia na kuombea.

Alizikwa 2008 na tulifukua 2021, tulimkuta yuko safi, ila maeneo ya tumboni ndo paliharibika, ila kwingine yuko safi kabisa,
Kucha ndefu, nywele ndefu, ila kakauka sana yuko kau kau.

Na hii hufanyika hadi kupata kibali cha polisi.
Sasa nashangaa hapa huyu anayo yaeleza inakuajee. Khaaah
Inawezekana kuna mazingira yalisababisha, ingawa sio KAWAIDA.
Lakini tafiti maelfu kuhusu nini hutokea kwenye mwili baada ya kifo ziko nyingi -open source kabisa - ni kwenda kusoma tu..
 
Tena hapo zungumzia hawa wanaozikwa na jeneza afu wanafukiwa na udongo.

Hawa wanaojengelewa kwa saruji na malu malu ndo kabisaa, wanachelewa na kuchelewa tena kuharibika.
Wadudu hawatoki kwenye udongo bali mwilini umenipata
 
Hii ni adhabu ya kaburi aiseeee
Wote makafiri huu ujumbe wenu
 
Mimi ninawaza tu siku ya kufa kwangu,,usiku wangu wa kwanza makaburini sijui itakuaje,,watu wamekuzika na kuondoka, giza limeingia, hakuna marafiki, wala ndugu, umeme wala ulinzi, hiki ndo kinanipa uoga sana nitakapofariki
Sasa ule si ni mwili tu unazikwa?
 
Inawezekana kuna mazingira yalisababisha, ingawa sio KAWAIDA.
Lakini tafiti maelfu kuhusu nini hutokea kwenye mwili baada ya kifo ziko nyingi -open source kabisa - ni kwenda kusoma tu..
Bas sawaa
 
Acheni kutisha watu na nadharia zenu za kupotosha.
Kifo ni hali ya roho kutoka katika mwili, kiuhalisia ni kwamba bila uwepo wa roho katika mwili, mwili mwanadamu hauwezi kuhisi maumivu yoyote.

Na kuhusu mwili kuoza na kuwa mifupa ni suala jumuishi kila kiumbe kikishakufa ni lazma kiozeana na hakuna kanuni kuwa ni sehemu gani ya mwili itaanza na ipi itakuwa ya mwisho kuoza.
 
Siku ya 3 - kucha huanza kuanguka /kutoka mikono na miguu

Siku ya 4- Nywele huanza kutengana na fuvu la kichwa.

Siku ya 5- ubongo huanza kuyeyuka na wadudu huanza kula

Siku ya 6- Ngozi huanza kuwa nyeusi tii na kuanza kuchubuka

Siku ya 7- Tumbo huanza kuyeyuka kutokea mdomoni na sehemu za siri huanza kutoa harufu kali sana.

Siku ya 60 - Mwili wote unakuwa tayari umetafunwa na vidudu na kubaki mifupa tu.
Ni mwisho wa

Dharau zako.

Kiburi chako.

Majivuno yako.

Chuki zako.

Tamaa zako.
Aione ABDULY, Mama Yake na Rostaaamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom