Nini hutoa baada ya mtu kuzikwa

Nini hutoa baada ya mtu kuzikwa

Mbona kama unajutia kuishi?!
Sijutii kuishi najutia kuzaliwa. I wish was be born with concent.
"wake up in tha mornin and i ask myselfis life worth livin or should i blast myself?im tired of bein poor, and even worse, im black, my stomach hurts"
-2Pac
 
Wee ni muongoo,

Sisi tuliwahi hamisha maiti iliyozikwa zaidi ya miaka 13 tulikuta yupo safi, ila alikauka sana yaan kau kau, ila eneo la tumbo ndo lilikua limeshambuliwa sana na wadudu, tulimkuta kucha ndefu, nywele ndefu, na had nguo alizozikwa nazo ziliharibika maeneo ya pale tumboni, kwingine zilikua safi.

Labda wee uzungumzie kuhusu uzikaji waislamu, ila wakristo na Yale majeneza, wanakua bado safi kwa muda mrefu.
Nasikia na aina ya udongo huwa inachangia mabadiliko kuwa haraka au taratibu baada ya kuzikwa.
 
Usiwaze sana
I can't wait to experience those steps 🤗
Being born is fuckking stupid and pointless
Mkuu jipigw kifua na ujiambie ni lazima nitapitia maana ni lazima sio ombi
 
"Wanamtandao" waione hii post. Jitu linamiliki gari la b1 za walala hoi ila kununua uhai hawezi sa ndonini.
 
Sijutii kuishi najutia kuzaliwa. I wish was be born with concent.
"wake up in tha mornin and i ask myselfis life worth livin or should i blast myself?im tired of bein poor, and even worse, im black, my stomach hurts"
-2Pac

Pole sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom