BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 7,977
- 20,034
Haya wale mnaoogopa kuishi maisha yenu kwa kuogopa kusemwa na kuchekwa, subirini siku mkifa mkiwa mnaoza kaburini labda hao mnaowaogopa watawasaidia.
Hata ujifanye we ni mwema sana, utakufa tu na utaoza kama mbwa.
Wacha nile raha mie, kwa sababu siku ntakayokuwa nakufa hakuna atakayekuwepo.
Hata ujifanye we ni mwema sana, utakufa tu na utaoza kama mbwa.
Wacha nile raha mie, kwa sababu siku ntakayokuwa nakufa hakuna atakayekuwepo.