Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,040
- 4,291
Kichwa chako mshikaji😂Walokole wana mambo sana!! Ni mwendo wa roho za kichawi, maagano ya shetani, ...
Nilijua tuNakaa mkoani kwenu🙂
Umejuaje?Nilijua tu
Baada ya ww kusemaUmejuaje?
Akili zako unazijua mwenyewe 😎Baada ya ww kusema
dah mitandao ya simu wanazingua simu zetu wamegeuza viwanja vya matangazo na TCRA wanaangalia tu mi kwa siku napokea sms za matangazo ata 20 zinafika
Kwa nini?Mimi Watu wa Atown! Mpaka nikafikiri nitakuja kuolewa na watu wa huko
Nawewe umeamini hilo?Navunja vp sasa
Hapana sijaamini ila nimemuuliza tuNawewe umeamini hilo?
Na unaweza usipate au ukapata msidumuUnachokijaribu kukiwasilisha hapa niliwahi kukipitia, Katika maisha yangu nimepevuka wasichana nilio date nao ni wachaga. Wasichana wa makabuka mengine hatukai hata mwezi tushazinguana ila nikipata mrembo wa kichaga Mahusiano yanakaa sana hadi nimejikuta Nauliza kabila la mtu kabla sijaingia sana maana hawa wachaga nimewashindwa ila sasa ndio hao huwa nadumu nao angalau. Ila sasa hivi natafuta dada wa kidigo au Wanyamwezi sema ndio hivyo hiyo Bahati hamna.
Ndo waliokua nakutana nao kwa wingiKwa nini?
Mh...Ndo waliokua nakutana nao kwa wingi
Ng'weeeeeMh...
KaoneNg'weeeee
Kama ni wachagaa unapenda hela sisterKuna ile hali hutokea kila anaekutongoza ni kabila fulani yani hata mahusiano yako unakuta upo na mtu wa kabila hilo hilo ukija ex nao unakuta walikuwa hilo kabila yani wakija makabila mengine ni kwa uchache sana ila sasa kuna hilo kabila kila ukienda ivi upo nalo ukigeuka uko nalo, same kwa wanaume unakuta kila akitongoza sehemu akakolea ni kabila fulani kila ukiingia uhusiano unazama kwa hilo kabila.
Kwanini lakini inakuwa hivi?? 🤔
😅 Kwanini?Kama ni wachagaa unapenda hela sister
Hahaha... Kulasare mangi... Ngoja nikupasishie AikaMeku nipasishie mmoja niwowe