DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,726
- 81,775
Nakaa mkoani kwenušKama ni kabila langu bas naweza kuhisi baadhi ya vitu kuhusu ww
Utakua unaishi au kufanyia kazi mkoa wetu, utakua unafanya kazi bandarini, tiharahei au benki, kwenu maji marefu au ww utakua na biashara
Huwezi elewa kama haupo kiroho..Mhmmm wewe kila kitu maagano
Naijua hiyo nilitegemea utasema hivyo , wewe mpare šHuwezi elewa kama haupo kiroho..
Biblia inasema nitapatiliza uovu wa baba zenu mpaka kizazi Cha nne ..
Kasome Biblia Gidion alivyokuwa masikini wa kupepeta ngano wakati ni Shujaa sababu ya miungu ya baba yake ..
š¤Katika Internet inaitwa algorithm yaani uki-like page ya Yanga unaletewa na page nyingine za timu ya mpira.
Mfumo wa Internet upo the same na mfumo wa binadamu ulivyo.
Ukitembea na watu wa aina fulani basi unakuwa unaletewa watu wa aina hiyo hadi pale utakapoamua ku-unlike hao watu
Na hiyo sio mahusiano even friends inakuwa the same
Pia hata katika aina fulani za Kazi.
SawaHiyo ni bahati nasibu tu
š Ndo iwe hata kwa mkoa nnaoenda hata kwa muda mfupi wawe wao tuLabda compaund uliyopo ndo wapo wengi au cyle yako ya kila siku....
Naruhusiwa nipost noma humu.?š Ndo iwe hata kwa mkoa nnaoenda hata kwa muda mfupi wawe wao tu
Itakuwa na kaharufu flani kanachopendwa na hilo kabila, au una rangi nyeupe/light skin ipendwayo na wasukumašKuna ile hali hutokea kila anaekutongoza ni kabila fulani yani hata mahusiano yako unakuta upo na mtu wa kabila hilo hilo ukija ex nao unakuta walikuwa hilo kabila yani wakija makabila mengine ni kwa uchache sana ila sasa kuna hilo kabila kila ukienda ivi upo nalo ukigeuka uko nalo, same kwa wanaume unakuta kila akitongoza sehemu akakolea ni kabila fulani kila ukiingia uhusiano unazama kwa hilo kabila.
Kwanini lakini inakuwa hivi?? š¤
Sio wasukuma jamanš¤£Itakuwa na kaharufu flani kanachopendwa na hilo kabila, au una rangi nyeupe/light skin ipendwayo na wasukumaš
Umemaanisha nini?Naruhusiwa nipost noma humu.?
Hata walokole wa marekani wana haya mambo ?Walokole wana mambo sana!! Ni mwendo wa roho za kichawi, maagano ya shetani, ...
Pia ana nabii wakeMhmmm wewe kila kitu maagano
Mimi Watu wa Atown! Mpaka nikafikiri nitakuja kuolewa na watu wa huko
Hebu vunja hiyo chain jaribu na huku mpendwa wanguSio wasukuma jamanš¤£
Hata sijui mkuu!!Hata walokole wa marekani wana haya mambo ?