Nini husababisha hii kitu?

Nini husababisha hii kitu?

Principle girl

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
1,675
Reaction score
1,754
Kuna ile hali hutokea kila anaekutongoza ni kabila fulani yani hata mahusiano yako unakuta upo na mtu wa kabila hilo hilo ukija ex nao unakuta walikuwa hilo kabila yani wakija makabila mengine ni kwa uchache sana ila sasa kuna hilo kabila kila ukienda ivi upo nalo ukigeuka uko nalo, same kwa wanaume unakuta kila akitongoza sehemu akakolea ni kabila fulani kila ukiingia uhusiano unazama kwa hilo kabila.
Kwanini lakini inakuwa hivi?? 🤔
 
Zimbabwe Mixxed! Sasa unaweza kutuma pesa kwa haraka na usalama mpaka Zimbabwe. Piga *150*01#, alafu 4 nje ya nchi na utume sasa au tumia? Mixx Super App.
 
dah mitandao ya simu wanazingua simu zetu wamegeuza viwanja vya matangazo na TCRA wanaangalia tu mi kwa siku napokea sms za matangazo ata 20 zinafika
 
Kuna ile hali hutokea kila anaekutongoza ni kabila fulani yani hata mahusiano yako unakuta upo na mtu wa kabila hilo hilo ukija ex nao unakuta walikuwa hilo kabila yani wakija makabila mengine ni kwa uchache sana ila sasa kuna hilo kabila kila ukienda ivi upo nalo ukigeuka uko nalo, same kwa wanaume unakuta kila akitongoza sehemu akakolea ni kabila fulani kila ukiingia uhusiano unazama kwa hilo kabila.
Kwanini lakini inakuwa hivi?? 🤔
Makuzi huathiri watu kwa njia mbalimbali na athari hizo huweza kutokea bila hata ya mtu mwenyewe kutambua. Kwa mfano wanaume wa kabila moja wanaweza kupenda wanawake wenye tabia na mwonekano wa aina fulani kutokana na athari (+ au -) walizozipata wakati wanakua. Kwa mfano mchaga mwanaume akitaka kuoa ataangalia mwanamke mchapa kazi, mwenye uwezo wa kumsaidia mumewe, mcha Mungu na hasa mkristo, hivyo mwanamke mwenye tabia hizi anaweza kujikuta anafuatwa na wanaume wa kichaga.
 
Makuzi huathiri watu kwa njia mbalimbali na athari hizo huweza kutokea bila hata ya mtu mwenyewe kutambua. Kwa mfano wanaume wa kabila moja wanaweza kupenda wanawake wenye tabia na mwonekano wa aina fulani kutokana na athari (+ au -) walizozipata wakati wanakuwa. Kwa mfano mchaga mwanaume akitaka kuoa ataangalia mwanamke mchapa kazi, mwenye uwezo wa kumsaidia mumewe, mcha Mungu na hasa mkristo, hivyo mwanamke mwenye tabia hizi anaweza kujikuta anafuatwa na wanaume wa kichaga.
hii kweli ,wasukuma wao wanapenda mademu weupe
 
Back
Top Bottom