Nini huleta Sonona?

Dah yani anapata kila kitu na anaishi USA halafu anakuwa na Sonona? Dah kweli Mungu hakupi vyote
 
Sonona Ni pale unapo toa mzingo wa mask. Za barakoa na kontena la sanitazer na umesha clear Kila kitu unaingiza tanzaniaa lzm upate sonona
 
Back
Top Bottom