NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 8,535
- 17,484
Huyo mwanamama ni mwanaume alietengenezwa kuwa mwana mama amsapoti obama kama first lady!!!Mambo ya maabara hayo!!!
Anajifanyisha 😄😄. Pesa wanazo..kutwa kutuonyesha mapenzi yao na Obama, nini tena anataka huyu maza?? Aje huku aone jinsi sonona ilivyotufanya tuwe suguHuamin kuwa anawwza sumbuliwa na hili swala??!?
Wa kupata sonona ni sie mkuu 😄😄Haha. Nawe wajiona sugu?? Au ni title unayo wakilisha uzoefu wa hali.
Siwezi elezea hapa. Kuweka matatizo yako hadharani mitandaoni ni kujiongezea sonona.Una reason gani, ya kuwa nayo??!!! Unajimilikisha SONONA
Sonona husababishwa na upungufu mkubwa wa sukari kwenye ubongo.. Ubongo ukiwa hauna sukari huleta maumivu kwenye neurons ambayo huathiri hisia na kumfanya mtu kuwa na huzuni au wasi wasi kupita kiasi..Nimekutana na taarifa ya Michele Obama, na tatizo la Sonona.
Hii Chini ni taarifa hiyo.
"Ninaamka usiku wa manane kwasababu nina wasiwasi juu ya kitu fulani au nawaza kuhusu mzigo mzito ninaoubeba moyoni." Mke wa Rais Mstaafu wa Marekani Barack Obama bi Michelle amekiri kuwa anaugua sonona (Depression).
Michelle alisema maneno hayo wakati wa kipindi chake cha pili alipokuwa anamuhoji mwanahabari wa Marekani Michele Norris. "Huu sio wakati mzuri, kiroho," Bi. Obama alisema. "Najua ninakabiliana na kiwango fulani cha sonona. "Sio tu kwasababu ya karantini, lakini kwasababu ya ubaguzi wa rangi, na kushuhudia tu utawala huu wa Donald Trump, na kutazama unafiki ndani yake, kila uchao, kunavunja moyo."
Bi. Obama alisema anapitia matatizo na amekuwa na changamoto ya kuendeleza ratiba yake ya kufanya mazoezi ya viungo na kulala.
Source: BBC Swahili
Je, nini hasa chanzo cha Sonona? Nimetumia Michelle Obama kama Case study.
Sababu zipo nyingi tu.
Kumpoteza mpendwa wako(kifo)
Ugumu wa maisha.
Mapenzi
N.k
Anajifanyisha . Pesa wanazo..kutwa kutuonyesha mapenzi yao na Obama, nini tena anataka huyu maza?? Aje huku aone jinsi sonona ilivyotufanya tuwe sugu
Sonona husababishwa na upungufu mkubwa wa sukari kwenye ubongo.. Ubongo ukiwa hauna sukari huleta maumivu kwenye neurons ambayo huathiri hisia na kumfanya mtu kuwa na huzuni au wasi wasi kupita kiasi..
Upungufu huo wa sukari mainly husababishwa na ugonjwa wa kisukari ambapo mwili unashindwa kuyeyusha sukari au sukari kushindwa kuingia kwenye nerve cells na kumengenywa.
Tiba.
Hakuna tiba ya kudumu japo vifuatavyo vyaweza kusaidia.
1. Vitamin B complex- vidonge viwili vimezwe kila siku.
2. Viazi (chips) - angalau mloja kwa siku
3. Maziwa fresh
4. Tui la nazi
5. Drip ya D5 au RL au Glucose
Kwa watakaobainika na kisukari waanze kutumia dawa kama Glibenclamide na Metformin.