Nini hatma ya nafasi 2 za CHADEMA Afrika Mashariki

Nini hatma ya nafasi 2 za CHADEMA Afrika Mashariki

Labda nikuulize chadema wamevunja kanuni gani?
They have blunt political tactics. Kazi ingekuwa nyepesi sana kama wangeweka washindani watatu very competent na wasiopendwa na CCM. Hapo wangeokoa muda na fedha za kuendea mahakamani.
Chadema hawajavunja kanuni, wala bunge hawajavunja kanuni na pia Wabunge wawili wa chadema wamefeli kikanuni. Ila kimbinu walizidiwa na mahasimu wao.
 
chama kinachojipambanua kutetea wananchi

Wanakosa umakini kisa kutawaliwa na kuendekeza ubinafsi.

Kila siku wanahubiri democracy kumbe wenyewe wala hawaijui, wala hawaitaki hiyo democracy. Iweje kwenye uchaguzi wa BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI wamepata nafasi mbili;

1)Wameshindwa kutoa Fursa kwa Idadi kubwa ya wagombea ili kuwapa wapiga kura wigo mpana wa maamuzi kama CCM na CUF walivyofanya.Wao nafasi mbili wanatoa kwa watu wawili na kutaka kulazimisha bunge kuwapitisha bila kupingwa na hivyo kuikanyaga demokrasia. AIBU!!

2)CDM inaundwa na wanachama wa jinsia zote,wanawake na wanaume lakini kuna jumuia ya vijana (bavicha). Wao kwa wananchi wanahubiri Fursa Sawa kwa jinsia zote, lakini linapokuja suala la Fursa za ubunge wa afrika mashariki wanawake hawana nafasi kabisa. AIBU!!

3)Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania inaundwa na nchi mbili - Tanganyika/Tanzania bara na Zanzibar /Tanzania visiwani. CCM wameweka wagombea wao kwenye uchaguzi wa bunge la Afrika mashariki kwa kuzingatia pande zote mbili,wao Chadema wanajinasibu kuwa ni chama cha kitaifa! lakini wameleta majina ya wagombea wawili,wote kutoka mkoa mmoja,wote kutoka MWANZA..... Hii tunaitaje? .. AIBU.

Uchaguzi huu unafuatiliwa kote Afrika mashariki, kwa kuwa Tanzania ni taifa kubwa na lenye ushawishi mwingi , hii ni aibu kwa chama kikuu cha upinzani, aibu,aibu aibu,aibu,aibu, aibu,aibu!!

Mm lkn mbona hata uchaguz wa wabunge hasa hasa ccm mbona viongoz wengi wapo bungen kwa kupita bila kupingwa..hii inakaaje hii
Au na wao wanapigiwaga kula za ndio au hapana fano mzuri Lukuvi kule isman. Mbona hakuja bungeni kumpigia kura za ndio au hapana
 
Jitafakarini sana CHADEMA. Hayo makundi mawili ni muhimu sana. Katika kuwahadaa watanzania angalau mngetafuta mwanamke ambaye kwa akili zenu ni dhaifu kabisa na mzanzibari mnaodhani kwa akli zenu ni dhaifu sana wakawasindikiza Wenje na Masha, yote hayo yasingetokea. Mnakwenda kuwaweka watu wa kutoka MWANZA tu wakati Tanzania hii ni kubwa sana, inatoka Namanga hadi mbambabei, inatoka Pemba hadi kigoma, inatoka Tunduma hadi Sirari.

Aisee umenifungua macho.
Kuna kitu hapo kimefanywa na wabunge wa CCM.
Kina ujumbe wanaupeleka wanakojua wao. Huenda hata baadhi ya wabunge wa Chadema wapo.

Ila tu Masha na Wenje walikua ni bora kuliko wagombea wa wote waliokuwepo na waliopita.
Tumekosa wawakilishi wenye tija kwa taifa letu.
 
Kwanini hawakuteua wanawake pekee au Wazanzibari pekee?

Mimi sio mwanachadema lakini Masha na Wenje ndio hasa tunaotaka watuwakulishe huko.
Natamani wawakilishi wetu wote wawe na uwezo wa hao watu wawili.

Natamani kabisa hata hizo nafasi 9 zifutiliwe mbali waende Masha na Wenje pekee wawakilshe nchi sio kupeleka watu wa ajabu ajabu eti usawa sijui mdudu gani.

Ndio maana Afrika na Tanzania itatawaliwa na Mabeberu milele.
Wazungu wanapopeleka majasusi wa ukoloni wanatafuta watu compitent ili walete faida kwa nchi sio kufurahisha vyama na kupeana fadhila kwenye mambo ya kulinda maslahi ya Taifa.
Kuna siku watahitaji tupeleke Makomando kutoka Tanzania waliopigana vita kwa kiwango cha juu na majasiri halafu tuanze mambo ya usawa na ukanda sijui udini na blah blah za kiCCM halafu tupeleke wale wanye uwezo sawa na migambo wa Rwanda.

Marekani hawakuwa wajinga walipoamua kumchagua Trump dhidi ya Hillary.
Waliangalia uwezo wa kina Putinin na Marais wa China ,Korea ya Kaskazini , Irani, Zimbabwe, Israel n.k. wakaona hakuna namna lazima wachague mtu mwenye uwezo wa kutunishiana misuli na hao wababe wa dunia.

Sisi Tanzania tunajua fika kabisa kuwa nchi pekee tunayeweza kuwa level moja ni Burundi lakini Rwanda ,Kenya ,Uganda na Sudan ya kusini wanawazidi sana wabunge wetu katika kujenga hoja zenye mashiko lakini tunawaacha watu makini kama Wenje na Masha kwa Chuki za siasa za majimboni.
Hii ndio aibu.
Dawa yao ni kuwaachia CCM hizo nafasi wapeane kama fadhila mana nafasi za ubalozi hazijawatosha na haziwatoshi kamwe ndio maana mabalozi wamejaa dunia nzima lakini hatuoni ushawishi wao kiuchumi .Wameshindwa hata kutangaza lugha ya kiswahili mpaka Rais ameamua atumie uwezo wake mwenyewe kukitangaza.
 
Hivi kwa mini hoja za ccem Jana bungeni zilikuwa zinafanana, yani kila anayesimama anasema hchohicho had mawaziri wao

Hoja za kina Masha zilikuwa za kuomba kura halafu Mwishoni wanataka wapitishwe kwenda EA bila ya kupigiwa kura sasa walifuata nini pale kuomba kura?
 
Kwanini hawakuteua wanawake pekee au Wazanzibari pekee?

Mpuuzi kweli wewe hukusikia wakisema.nafasi ya Zanzibar ni 2,na inatokea.kwenye vitu vya CCM.

Kama.hujui sema uelekezwe.
 
Hoja za kina Masha zilikuwa za kuomba kura halafu Mwishoni wanataka wapitishwe kwenda EA bila ya kupigiwa kura sasa walifuata nini pale kuomba kura?

Umeambiwa kwenye form.hakuna kura ya hapana,ni kutick majina Tisa tu.Acha ushamba siyo kila siku Jumatatu. Tatizo la kuendekeza ujinga mkajikuta mnateua mpaka akina Bashite.
 
Umeambiwa kwenye form.hakuna kura ya hapana,ni kutick majina Tisa tu.Acha ushamba siyo kila siku Jumatatu. Tatizo la kuendekeza ujinga mkajikuta mnateua mpaka akina Bashite.

Mbowe kaweka wazi Msimamo wao kuwa Wapite bila ya kupingwa Wewe na Mbowe Nani anajua zaid Msimamo wa Chadema?

Kura Maana yake ni kuchagua ( Options) unapoleta Majina mawili halafu nafasi ni mbili tu hapo kuna kuchagua?

Mbowe na Lissu wamewatumbukiza kwny Mtaro nanyi mmeingia wazima wazima na hiyo ndio Sifa ya Nyumbu
 
Nadhani Nguvu inayotumika ni hali halisi ya mwenyekiti wetu wa maisha ulishawahi kusikia anapingwa kwenye chaguzi
 
Kwa CCM kila kitu ni fadhila; rarely ufikiria in terms of the best candidate for the post who can argue for the national interest.
 
Ubinafsi wa Chadema unauona sana lakini ule wa dikteta uchwara kuwafukuza chamani wanachama bila kutaja makosa yao na kuwavua uongozi wakati huo huo kutomgusa mhuni jambazi Bashite huuoni! Dikteta uchwara kuzuia kofia mbili ndani ya chama lakini yeye kuendelea kuvaa kofia mbili UBINAFSI huu wa ShilawaDU pia huuoni! Bila shaka una ufinyu mkubwa sana wa akili. Kichaka cha MIKAKATI cha dikteta uchwara hukioni! Mpuuzi kweli wewe!

ubinafsi uliojificha kwenye kichaka cha MIKAKATI
 
Ubinafsi wa Chadema unauona sana lakini ule wa dikteta uchwara kuwafukuza chamani wanachama bila kutaja makosa yao na kuwavua uongozi wakati huo huo kutomgusa mhuni jambazi Bashite huuoni! Dikteta uchwara kuzuia kofia mbili ndani ya chama lakini yeye kuendelea kuvaa kofia mbili UBINAFSI huu wa ShilawaDU pia huuoni! Bila shaka una ufinyu mkubwa sana wa akili. Kichaka cha MIKAKATI cha dikteta uchwara hukioni! Mpuuzi kweli wewe!
Punguza hasira mkuu,
inaonekana ulikuwa unaandika umekunja ndita.
Chochote kilichofanyika au kinachofanyika CCM kinapitia kwenye system halali ya uongozi na maamuzi si otamko la mtu mmoja. Jipe Muda kutafakari hilo unaweza kujikuta hata unachoma kadi ya vidole viwili ukigundua hata hao wawili hawana transparent justification kama madhaifu ya kupatikana kwao yalivyoelezewa na moja ya wagombea wenu waliotemwa.
 
Nchi inachezewa na punguani wewe unasema niache hasira!? Mbona hujamwambia ShilawaDU aache hasira na vitisho dhidi ya Watanzania!? Wewe punguani kweli! Kuharibu nchi ni kitu rahisi sana lakini kuijenga ni kazi kubwa sana ya miaka chungu nzima. Tia akili kichwani na kuacha kupigia debe wahuni, majangili na mafisadi. Ni hasara kubwa kwa nchi kuwa na mapunguani kama wewe mnaopigia debe uovu wa kila aina unaoendelea nchini na kusababisha nchi kubaki nyuma kwenye kila sekta muhimu.

sawa.
Ila uelewe hapa sio debe, ni kupongeza na kutetea mazuri, pili kutoa changamoto ju ya yale yanayoonekana hayako sawa kwa kupropose njia mbadala na bora ikiwezekana. Sioni sababu ya Kuchukia kukejeli wala kudharau mamlaka maana mamlaka hizi sio za kimalaika bali ni wanadamu tu, kama wale wa chadema na wanakosea pia.
Sasa kama mazuri yangu kwako ni mabaya na yanabomoa nchi, fine ni Ukinzani wa ufahamu na mitazamo ambayo ni muhimu kwa mwanadamu na ndio uhuru wa kujieleza huo ndugu ambao tulitumia nguvu kuhakikisha tunaupata na JF inaexist ili wewe uandike hayo na sisi tuandike hayo. Ukielewa hayo utakuwa na amani sana...
 
Mimi sio mwanachadema lakini Masha na Wenje ndio hasa tunaotaka watuwakulishe huko.
Natamani wawakilishi wetu wote wawe na uwezo wa hao watu wawili.

Natamani kabisa hata hizo nafasi 9 zifutiliwe mbali waende Masha na Wenje pekee wawakilshe nchi sio kupeleka watu wa ajabu ajabu eti usawa sijui mdudu gani.

Ndio maana Afrika na Tanzania itatawaliwa na Mabeberu milele.
Wazungu wanapopeleka majasusi wa ukoloni wanatafuta watu compitent ili walete faida kwa nchi sio kufurahisha vyama na kupeana fadhila kwenye mambo ya kulinda maslahi ya Taifa.
Kuna siku watahitaji tupeleke Makomando kutoka Tanzania waliopigana vita kwa kiwango cha juu na majasiri halafu tuanze mambo ya usawa na ukanda sijui udini na blah blah za kiCCM halafu tupeleke wale wanye uwezo sawa na migambo wa Rwanda.

Marekani hawakuwa wajinga walipoamua kumchagua Trump dhidi ya Hillary.
Waliangalia uwezo wa kina Putinin na Marais wa China ,Korea ya Kaskazini , Irani, Zimbabwe, Israel n.k. wakaona hakuna namna lazima wachague mtu mwenye uwezo wa kutunishiana misuli na hao wababe wa dunia.

Sisi Tanzania tunajua fika kabisa kuwa nchi pekee tunayeweza kuwa level moja ni Burundi lakini Rwanda ,Kenya ,Uganda na Sudan ya kusini wanawazidi sana wabunge wetu katika kujenga hoja zenye mashiko lakini tunawaacha watu makini kama Wenje na Masha kwa Chuki za siasa za majimboni.
Hii ndio aibu.
Dawa yao ni kuwaachia CCM hizo nafasi wapeane kama fadhila mana nafasi za ubalozi hazijawatosha na haziwatoshi kamwe ndio maana mabalozi wamejaa dunia nzima lakini hatuoni ushawishi wao kiuchumi .Wameshindwa hata kutangaza lugha ya kiswahili mpaka Rais ameamua atumie uwezo wake mwenyewe kukitangaza.
mkuu hebu nitajie achievement walau tatu tatu za kiuongozi kwa kila mmoja wa hawa viongozi wawili make mi nimekaa nyamagana kwenye vipindi vyao vya ubunge na kusema kweli hakuna cha maana ambacho wamefanya zaidi ya kung'oleana mapazia ofisini na kufanya tu fujo bungeni
 
Umeambiwa kwenye form.hakuna kura ya hapana,ni kutick majina Tisa tu.Acha ushamba siyo kila siku Jumatatu. Tatizo la kuendekeza ujinga mkajikuta mnateua mpaka akina Bashite.
Daaah,mkuu umemjibu vizuri sana,safiiii.Tatizo watu wengi huu mchakato hawauelewi.
 
Nafasi zenyewe ngapi jaman? Mabashite bana
We ndio Bashite maana unafuata mkumbo, chance ni mbili from CHADEMA but wangepaswa kuegesha hata mtu(Mwanamke) mmoja ili kuepuka kuangukia katika kundi la Kupigwa Kura za NDIO au HAPANA(jambo ambalo ni mbaya kwao kutokana na namba kubwa ya wabunge wa Ccm) n hence labda WENJE na Masha wangepita kwa Kura za kawaida . Ila kwakua Mtukufu mwenyekiti aliona apeleke fixed Number Yaani 2 ili apite bila kupingwa na Akasahau kwamba utaratibu wa Bunge haupo hivyo, basi matokeo ndio hayo. KURA za HAPANA zilizidi na ...[emoji28]
 
Back
Top Bottom