Haya mambo mnayakuza sana, siajabu ukimshtua Mike Pompeo sasa hivi ukamuuliza kuhusu Tanzania siajabu wala asijue ilipo.
Kwa nini asitimuliwe tu?
He is long overdue.
Katika mijadala yote tokea juzi kuhusu hili swala wewe peke yao ndio umeandika suruhisho ya yote haya mkuu hongera sana..Mana kilichobak bashite afanye hivyoDawa ni moja tu..
Bashite atume watu wake wakamteke POMPEO ili mambo yakae sawa.
HahahahahahahahKatika mijadala yote tokea juzi kuhusu hili swala wewe peke yao ndio umeandika suruhisho ya yote haya mkuu hongera sana..Mana kilichobak bashite afanye hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
The guy was CIA wanasoma geography hawa,be informedHaya mambo mnayakuza sana, siajabu ukimshtua Mike Pompeo sasa hivi ukamuuliza kuhusu Tanzania siajabu wala asijue ilipo.
MWANAE MPENDWA NI UNTOUCHABLE LOLJiwe akitaka aondoe ukakasi,basi afanye jambo kwa huyu mwanae mpendwa,lasivyo yote yanayoendelea kunamkono wake na huu ni mtego kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani kila mtu kajaza uharo kwenye kichwa kama wewe ?Haya mambo mnayakuza sana, ukimshtua Mike Pompeo sasa hivi ukamuuliza kuhusu Tanzania siajabu wala asijue ilipo.
Mkuu mbona umeanza tena kumtoroka Magufuli wakati una topic kibao humu za kumsifiaDreamliner ni moja ya aina za ndege zinazotengenezwa na kampuni ya Kimarekani ya Boeing.
Rais wetu huyu, tokea aingie madarakani kaweka moja ya vipaumbele vyake kulifufua shirika la ndege la taifa. Ufufuzi huo unaenda sambamba na ununuzi wa ndege, zikiwemo hizo zinazotengenezwa huko Marekani.
Sasa jana baada ya serikali ya Marekani kuweka kikwazo cha kusafiri dhidi ya baadhi ya Watanzania, serikali itajibu mapigo kwa kiwango gani?
Magufuli wakati mwingine huwa ni mtu wa mihemuko. Je, atasusa kuendelea kuzinunua hizo Dreamliners? Akizisusia Dreamliners atanunua ndege gani? AirBus?
Jumuiya ya Ulaya nao wakifuata mkondo wa Marekani je? Atasusa kuzinunua AirBus?
Akisusa kuendelea kuzinunua Dreamliners, hiyo iliyopo [hivi zipo ngapi kwani?] ataifanya nini? Ataiuza? Atairudisha?
Talk about being stuck in a rock and a hard place!
More like the rock [Jiwe] is now stuck in a hard place.
Makonda ataachia kazi zake na kubaki na ya Mshauri wa Simba sports club
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona umeanza tena kumtoroka Magufuli wakati una topic kibao humu za kumsifia
Sent using Jamii Forums mobile app
Bibi yako mzaa babu yako ndio alivyokudanganya hivyo???!!Haya mambo mnayakuza sana, ukimshtua Mike Pompeo sasa hivi ukamuuliza kuhusu Tanzania siajabu wala asijue ilipo.
Haya mambo mnayakuza sana, ukimshtua Mike Pompeo sasa hivi ukamuuliza kuhusu Tanzania siajabu wala asijue ilipo.
Unafikiri yy ni mjinga kama ww ulivyo mpumbavu.Haya mambo mnayakuza sana, ukimshtua Mike Pompeo sasa hivi ukamuuliza kuhusu Tanzania siajabu wala asijue ilipo.
Hii hapaKasoro mimi na wewe mkuu.
Mimbuzi jike ni ile inayokesha kumsifia DAB