Nini Hatma Ya CCM Ikishindwa 25 Oktoba?

Wakati nchi yetu...ina utajiri mkubwa...kutoka kwa MUNGU...lkn wananchi sisi bado masikini.?.wametunyima elimu ya kutosha ili watunyonye daima...hamna mikakati endelevu ya kufufua uchumi ..ajira...afya.?.HUU NI UKWELI AMBAO UKO WAZI?...Ajabu bado ndg zetu watanzania wenzetu bado wanaunga mkono hichi chama cha wanyonyaji....Mungu mkubwa hamna marefu yasiyo NCHA....
 
labda kuna vitu wananufaika nacho.
 
Waulize kanu ya kenya ilienda wapi !! Ndo utajua ccm itaenda wapi zaidi ya makumbusho ya taifa
 
Back
Top Bottom