Nini Hatma Ya CCM Ikishindwa 25 Oktoba?

youngsharo

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
2,491
500
Wanajukwaa,

Napenda nizungumzie kiundani kabisa juu ya hili, kuna propaganda nyingi sana mitaani kuwa Ccm bado inawafuasi wengi si kweli.

Hali ya Ccm ni tete si mijini wala vijijini, wapo watu ambao bado wanaendelea kuwa Ccm kwa sababu ya aibu, kuogopa kushambuliwa na maneno kutoka kwa Ccm wenzao endapo watatoka, na pia hata kuogopa matusi, wanapambana kimwili lakini kiroho ni wanamabadiliko.

Twende Directly kwenye point; je ni nini hatma ya Ccm endapo watashindwa Uchaguzi wa mwaka huu?

TUTEGEMEE YAFUATAYO
=CCM haitaingia madarakani kwa zaidi ya miaka 10 ijayo.
=2020 UKAWA itashinda kwa zaidi ya 70%
=Uchaguzi 2020 vyama vitakavyoshindana ni CHADEMA/CUF vs ACT,
=UKAWA itahujumiwa/itapokonywa baadhi ya vyama na CCM, na CCM itafanya muungano na vyama hivyo kutoka UKAWA ili kuongeza nguvu,
=2025 uchaguzi utakuwa kati ya UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI VS MUUNGANO UTAKAOTENGENEZWA NA CCM.

Nawasilisha Utabiri huu leo tarehe 10/10/2015 expire date 20/10/2025.

youngsharo
 
Last edited by a moderator:

Mtu wa mwisho kuondoka atawasilisha nyaraka kwa Msajili kikiwa kimekufa.
 
Wanena vyema
 
Last edited by a moderator:
Kwa kwel ccm ina hali ngumu mjini na vijijini na itakuwa kama ulivyoandika make haikulazimu kuwa na degree kuyabaini haya masuala yaliyo uchi dhahiri.
 
  • Thanks
Reactions: BDN
Sawa kabisa ccm itafutika kabisa kwasababu viongozi wake walishabweteka na kuzoea vya mtelemko tu wakijua watudumu madarakani, hivyo hawataweza mikikimikiki ya kupambana na vichwa vya wana mabadiliko.
 
CCM itasambaratika kabisa.
1: Wafanya kazi wengi ambao ni wakuu wa vitengo katika serikali ni wana CCM. Hawa baada ya Lowassa kuapishwa ni lazima wata pimwa kiundani kuonekana kama nyadhifa walizo nazo zinaenda na viwango. Na kumbuka huku ndiko pesa ya Serikali inapo potea zaidi kwa kutumia wizi wa karamu.
2: Wakuu wa mikoa na Wilaya ni wana CCM hawa pasipo na shaka wataondolewa tu kwani kila mtanzania anafahamu wazi kwamba wapo katika sehemu zao za kazi kwa kulinda maslahi ya chama.
3: Mawaziri na makada wa CCM ambao wapo kwa manufaa ya Chama- Hawa wanatoka kwani wanalipwa mishahara kwa kazi hewa.
4: Wakurugenzi wa Halmashauri . Hawa hawapo salama hata kidogo kama utakumbuka ile tume ya mzee wa Kiraracha ili ibua ufisadi mkubwa sana kwenye halmashauri zao.
SASA kwa watu ambao wapo sehemu za kazi kwa kukiwakilisha chama , Na wale ambao wapo sehemu za kazi kwa kuliibia Taifa, hawata weza kwenda kusaidiana kukikoa chama kwani kila mmoja atakimbilia upande wake katika kujiokoa. Ndugu zangu mkitaka kuona maajabu Mchagueni Lowassa. Kuna mambo mazito sana sana Maofisini. Baadhi ya watu watafia juu ya meza zao makazini kama alivyosema Member mwingine hapo juu. Hii nchi ina neema na ili kuziona Neema hizo zilizo chini ya mikonoya watu wachache ni kufumua huu mfumo dume wa utawala wa Chama Cha Mapinduzi. " Aluta Continua "
 
Sawa kabisa ccm itafutika kabisa kwasababu viongozi wake walishabweteka na kuzoea vya mtelemko tu wakijua watudumu madarakani, hivyo hawataweza mikikimikiki ya kupambana na vichwa vya wana mabadiliko.

ndo maana yake.
 
ccm itakufa kimoja wala haitaweza kuinuka tena. Watagawana mbao na misumari. Itabakia historia.
 
Wanajukwaa,

Napenda nizungumzie kiundani kabisa juu ya hili, kuna propaganda nyingi sana mitaani kuwa Ccm bado inawafuasi wengi si kweli.

Hali ya Ccm ni tete si mijini wala vijijini, wapo watu ambao bado wanaendelea kuwa Ccm kwa sababu ya aibu, kuogopa kushambuliwa na maneno kutoka kwa Ccm wenzao endapo watatoka, na pia hata kuogopa matusi, wanapambana kimwili lakini kiroho ni wanamabadiliko.

Twende Directly kwenye point; je ni nini hatma ya Ccm endapo watashindwa Uchaguzi wa mwaka huu?

TUTEGEMEE YAFUATAYO
=CCM haitaingia madarakani kwa zaidi ya miaka 10 ijayo.
=2020 UKAWA itashinda kwa zaidi ya 70%
=Uchaguzi 2020 vyama vitakavyoshindana ni CHADEMA/CUF vs ACT,
=UKAWA itahujumiwa/itapokonywa baadhi ya vyama na CCM, na CCM itafanya muungano na vyama hivyo kutoka UKAWA ili kuongeza nguvu,
=2025 uchaguzi utakuwa kati ya UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI VS MUUNGANO UTAKAOTENGENEZWA NA CCM.

Nawasilisha Utabiri huu leo tarehe 10/10/2015 expire date 20/10/2025.

youngsharo

Umati wa Lowasa usikutishe, CCM itashinda mwaka huu ingawa si kwa kishindo ila CCM itashinda kama unabisha acha
 
1 st week ya Kampen mliambiwa mkishapiga kura ondokeni kazi ya kuzilinda muachieni Mzee, Wiki ya Pili mkaanza kuambiwa niombee kura kwa ndugu, jamaa na Marafiki, wiki ya tatu mkaambiwa nendeni na kalamu zenu kwa kuwa kalamu za Tume zinahamisha tick, wiki ya nne mkaambiwa mkishapiga kura lindeni kura, wiki ya tano mkataka kukagua technogy ya kuhesabu kura, na mruhusiwe kwenda na kalamu zenu, mkaomba kura zihesabiwe vituoni mkakubaliwa, wiki ya tano mkaanza kuitisha harambee za kuomba michango, wiki ya sita mkaanzisha huduma ya kuchangia chama kwa njia ya sim money, Bado hamjajua Matokeo tu mbona wagombea wameanza kujua kitachofata? Baadhi ya Vyombo vya habari vimeanza kurudi kwny mstari na kuacha kumkampenia mgombea mmoja! Sie tumebaki kusubiri kujua mshindi atapata kura ngapi ila kishajulikana mshindi ni nani!
 
Kwanini husiulize kuwa "NINI HATIMA YA CHADEMA NA UKAWA YAO IKISHINDWA KWENYE UCHAGUZI WA 24.10.2015?".

duh maskini, hata siku ya uchaguzi haijui. sasa ndo naelewa takwimu za TWAWEZA kuwa Ccm inapendwa na wasioajielewa.
 
1 st week ya Kampen mliambiwa mkishapiga kura ondokeni kazi ya kuzilinda muachieni Mzee, Wiki ya Pili mkaanza kuambiwa niombee kura kwa ndugu, jamaa na Marafiki, wiki ya tatu mkaambiwa nendeni na kalamu zenu kwa kuwa kalamu za Tume zinahamisha tick, wiki ya nne mkaambiwa mkishapiga kura lindeni kura, wiki ya tano mkataka kukagua technogy ya kuhesabu kura, na mruhusiwe kwenda na kalamu zenu, mkaomba kura zihesabiwe vituoni mkakubaliwa, wiki ya tano mkaanza kuitisha harambee za kuomba michango, wiki ya sita mkaanzisha huduma ya kuchangia chama kwa njia ya sim money, Bado hamjajua Matokeo tu mbona wagombea wameanza kujua kitachofata? Baadhi ya Vyombo vya habari vimeanza kurudi kwny mstari na kuacha kumkampenia mgombea mmoja! Sie tumebaki kusubiri kujua mshindi atapata kura ngapi ila kishajulikana mshindi ni nani.
 
Pohamba utakuwa ukilia kila utakapokumbuka maandishi yako kwenye huu uzi.
 
Last edited by a moderator:
Uchambuzi wako si kweli,ila tarajia ukawa kuunda chama kimoja,ccm kufa kabisa kitokana na wafuasi wengi kujiunga na ukawa na Act
 
Back
Top Bottom