bornagain
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,383
- 1,360
Akili za samaki.
Haya bwana mimi sitii neno ila ukweli ni kwamba tarehe 25 nyie watu wa kanda ya kaskazini mtakuwa surprised
Akili za samaki.
Ebo! ndo wale wale mapimbi yanaamini takwimu za uongo zinaongeza kura, watanzania wa leo si watanzania wa mwaka 95 au 20, mbinu hizo zilitumika mda huo kwaxaxa zime expire.
sasa mnakubali lowassa ana umati mkubwa wa wananchi? Wanaopiga kura ni akina nani? Na atakayemfanya asishinde ni nani? Viva lowassa
Kama kura zingepigwa mtandaoni FB W'app, JF nk rais wao wa website angeshinda!.. ila kwa swala la URT mh.John PM ndo atashinda hakika CDM haiwezi kupata kura za kutosha zanzibar,na huku bara tayari watu wanajua hila za CDM mkijitahidi mtapata wabunge wengi maana siku zinavyoenda watu wa ajabu ajabu ndo wanaongezeka mijini hawana ramani kazi kulaumu CCM wakati hapo walipo hawana maarifa yoyote ya kujikomboa kifikra,kinidhamu nk.Kuna watu wanawehuka kila kukicha...serikali yoyote duniani haiwezi kukufanyia kila kitu!
Uchambuzi wako si kweli,ila tarajia ukawa kuunda chama kimoja,ccm kufa kabisa kitokana na wafuasi wengi kujiunga na ukawa na Act
Na upande wa Pili pia ukishindwa!
Napenda nikuunge mkono, hivi sasa Tanzania kuna mihemko ya ajabu sana watu hatutafakari wala hatuangalii historia ya wagombea walikotoka na dhamira zao za kuutaka Urais kwa udi na uvumba kiasi wanatutia shaka na maisha yetu yatakavyokuwa baada ya wao kushika madaraka. Mabadiriko yanayotakiwa na watu hivi sasa ni kuitoa madarakani CCM baada ya hapo ni nini kinafuata?
Ukitokea hivyo ccm itakuwa imefutika kabisa. Naamini kutatokea kulaumiana kwa hili na lile.
Wachawi waliosababisha kushindwa watatufutwa kwa tochi hadi watapatikana, nao watakuwa wengi sana , lakini hawatakubali.
Wataendelea kususa na kujitoa mmoja baada ya mwingine + zomea zomea nayo itashika kasi hadi chama kitakuwa hoi, ndembendembe kabisa, chaliiiiii !
Itakuwa tu ishara ilshaonekana mapema, hujasikia wakia wakiahidiana kushughurikiana baada ya uchaguzi, unategemea nini kitatokea.
sijaielewa comment yako.
Coment yangu ni kuhusu hatima ya ccm ikishindwa, kwamba tutalajie mfarakano.
Kwamba dalili zipo sababu kupitia majukwaa ya kampeni,wameshaanza kushutumiana kusalitiana. Hili kalisema wazi mchana kweupe mgombea wao wa uraisi.
Kwamba baada ya uchaguzi wataanza kushughurika na walionekana kusaliti chama. Sasa kama chama kitakuwa kimeshindwa, unategemea nini kitatokea. Ni mtawanyiko mbele kwa mbele.