Nini Hatma Ya CCM Ikishindwa 25 Oktoba?

Nini Hatma Ya CCM Ikishindwa 25 Oktoba?

Wanajukwaa,

Napenda nizungumzie kiundani kabisa juu ya hili, kuna propaganda nyingi sana mitaani kuwa Ccm bado inawafuasi wengi si kweli.

Hali ya Ccm ni tete si mijini wala vijijini, wapo watu ambao bado wanaendelea kuwa Ccm kwa sababu ya aibu, kuogopa kushambuliwa na maneno kutoka kwa Ccm wenzao endapo watatoka, na pia hata kuogopa matusi, wanapambana kimwili lakini kiroho ni wanamabadiliko.

Twende Directly kwenye point; je ni nini hatma ya Ccm endapo watashindwa Uchaguzi wa mwaka huu?

TUTEGEMEE YAFUATAYO
=CCM haitaingia madarakani kwa zaidi ya miaka 10 ijayo.
=2020 UKAWA itashinda kwa zaidi ya 70%
=Uchaguzi 2020 vyama vitakavyoshindana ni CHADEMA/CUF vs ACT,
=UKAWA itahujumiwa/itapokonywa baadhi ya vyama na CCM, na CCM itafanya muungano na vyama hivyo kutoka UKAWA ili kuongeza nguvu,
=2025 uchaguzi utakuwa kati ya UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI VS MUUNGANO UTAKAOTENGENEZWA NA CCM.

Nawasilisha Utabiri huu leo tarehe 10/10/2015 expire date 20/10/2025.

youngsharo

Utaahira ni ugonjwa mbaya, sijui ni nani kampa huyu chizi Komputa.

Hivi huoni baada ya 65% vs 25% kutangazwa kampeni za LOWASSA zimekuwa hoi-hohehahe na watu wanamkimbia?
 
Ebo! ndo wale wale mapimbi yanaamini takwimu za uongo zinaongeza kura, watanzania wa leo si watanzania wa mwaka 95 au 20, mbinu hizo zilitumika mda huo kwaxaxa zime expire.
 
we kweli kubwajinga
 
Ebo! ndo wale wale mapimbi yanaamini takwimu za uongo zinaongeza kura, watanzania wa leo si watanzania wa mwaka 95 au 20, mbinu hizo zilitumika mda huo kwaxaxa zime expire.

Namba haziongopi. TWAWEZA hawafungamani na upande wowote na 65% inaongezeka kila watu wanapokutana na Magufuli.
 
Ebooo... tafiti nilizofanya kwa takribani wiki nne sasa zinaonyesha kuwa CHIEF YEMBA mgombea uraisi kupitia chama cha ADC kabadilisha hali ya upepo vijijini kwa kuzidi kujiongezea idadi ya watu wanaomuunga mkono, hivo basi anazidi kujikusanyia wafuasi kutoka UKAWA na CCM kwa wingi zaidi na amezidi kuwa tishio kwa wagombea wenzake wa uraisi kama E.Lowassa na J.Magufulli
 
Utaahira ni ugonjwa mbaya, sijui ni nani kampa huyu chizi Komputa.

Hivi huoni baada ya 65% vs 25% kutangazwa kampeni za LOWASSA zimekuwa hoi-hohehahe na watu wanamkimbia?
Hii sentensi umemnukuu nani? Nape au Makamba Jr? Kama ni yako mwenyewe basi wasilianà na mmoja wa hao hapo juu, uchukue kitengo cha Tambwe Hiza.
 
umati wa lowasa usikutishe, ccm itashinda mwaka huu ingawa si kwa kishindo ila ccm itashinda kama unabisha acha

sasa mnakubali lowassa ana umati mkubwa wa wananchi? Wanaopiga kura ni akina nani? Na atakayemfanya asishinde ni nani? Viva lowassa
 
Haiwezi kushindwa. siku ya brithday ya magufuli siku hiyo hiyo anaapishwa kuwa rais wa JMT aaaahaaa! jamaa huyu ana bahati kiukweli yani mungu na ambariki
 
Ccm watakuwa wapinzani wazuri wa serikali ya ukawa sababu wanaifahamu mianya yote ya ubadhirifu wa mali ya uma. Watakuwa na mentality ya tukose wote, yaani kama wao wamezuiwa kula basi ukawa nao wasile.
 
Namba haziongopi. TWAWEZA hawafungamani na upande wowote na 65% inaongezeka kila watu wanapokutana na Magufuli.

we kubwa jinga na ukizeeka tutakuita zee jinga kwaiyo unaamini namba hazidanganyi? sasa mi nasema mpaka sasa hivi Lowassa anaongoza kwa 71%
 
Ccm watakuwa wapinzani wazuri wa serikali ya ukawa sababu wanaifahamu mianya yote ya ubadhirifu wa mali ya uma. Watakuwa na mentality ya tukose wote, yaani kama wao wamezuiwa kula basi ukawa nao wasile.

na watashindwa.
 
Wanajukwaa,

Napenda nizungumzie kiundani kabisa juu ya hili, kuna propaganda nyingi sana mitaani kuwa Ccm bado inawafuasi wengi si kweli.

Hali ya Ccm ni tete si mijini wala vijijini, wapo watu ambao bado wanaendelea kuwa Ccm kwa sababu ya aibu, kuogopa kushambuliwa na maneno kutoka kwa Ccm wenzao endapo watatoka, na pia hata kuogopa matusi, wanapambana kimwili lakini kiroho ni wanamabadiliko.

Twende Directly kwenye point; je ni nini hatma ya Ccm endapo watashindwa Uchaguzi wa mwaka huu?

TUTEGEMEE YAFUATAYO
=CCM haitaingia madarakani kwa zaidi ya miaka 10 ijayo.
=2020 UKAWA itashinda kwa zaidi ya 70%
=Uchaguzi 2020 vyama vitakavyoshindana ni CHADEMA/CUF vs ACT,
=UKAWA itahujumiwa/itapokonywa baadhi ya vyama na CCM, na CCM itafanya muungano na vyama hivyo kutoka UKAWA ili kuongeza nguvu,
=2025 uchaguzi utakuwa kati ya UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI VS MUUNGANO UTAKAOTENGENEZWA NA CCM.

Nawasilisha Utabiri huu leo tarehe 10/10/2015 expire date 20/10/2025.

youngsharo
Kweli ww ni sharo...inaonekana vtu unachukuliaga easy easy sana..na NGja tuwaonyeshe maana ya kua chama dola mwaka huu
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na makelele na propaganda za mitandaoni,Magufuli ndiye rais ajaye.Hapa kazi tu
 
Kweli ww ni sharo...inaonekana vtu unachukuliaga easy easy sana..na NGja tuwaonyeshe maana ya kua chama dola mwaka huu

ahahahaaa, wewe unaongea kishabiki2 nadhani hujui Lowassa ni nani kwa Ccm, na hujui Lowassa yupo kimataifa zaidi. watch out.
 
sasa mnakubali lowassa ana umati mkubwa wa wananchi? Wanaopiga kura ni akina nani? Na atakayemfanya asishinde ni nani? Viva lowassa

Kubali ama kataa nachokwambia ni CCM inashinda, ukikataa basi sikulazimishi ila nachokuambia CCM itashinda urais kwa kura ambazo si nyingi sana ila cha msingi CCM itashinda wala usiwe na pressure
 
Back
Top Bottom