Nini hatima ya Halima Mdee na wenzake baada ya bunge kuvunjwa?

Nini hatima ya Halima Mdee na wenzake baada ya bunge kuvunjwa?

Soma uelewe. kama hujaelewa usijibu kitu. Sijakwambia popote kwamba ninakwambia 'facts' kama unavyodai wewe.
Mimi ninatumia akili ku'deduce' mambo ambayo sioni 'facts' zake, lakini naona 'elements' za kujengea 'deductions hizo.
Usikimbilie kuhitimisha kitu katika jambo analosema mtu, mimi sijakwambia popote kwamba 'facts' ni hizi na hizi; sasa wewe unaniambia ni mtu wa "facts", lakini sizioni hizo facts zako. Nikiziona nitazielewa na kuzikubali au kuzikataa.
Kwani facts ni nini? Na kinyume chake ni nini?
Yaani wewe ukae hapo mwenyewe, utengeneze mawazo yako mwenyewe kichwani ya ajabu ajabu, halafu ukimbilie hapa JF kuja kuyaanika huku yakiwa ni tofauti kabisa na uhalisia unaoeleweka wazi kwa karibu kila mtu, halafu utake tuyaamini zaidi ya ule uhalisia tunaoufahamu. Halafu tukae kimya?

Kwa kifupi kama huna Facts kwenye suala tunalolijadili hapa sasa basi utakuwa unatushosha tu na kutaka kutupotosha, hivyo tutakuchana wazi wazi.
 
atuko hapa kuamini au kutokuamini porojo za watu fulani fulani, tuko hapa JF kujadili facts zenye mantiki za kushawishi akili na kueleweka.
Lakini sioni 'facts' ulizoweka hapa zisizoweza kutiliwa mashaka, kwa hiyo haziko mbali na unazoziita "porojo".
 
Kwani facts ni nini? Na kinyume chake ni nini?
Yaani wewe ukae hapo mwenyewe, utengeneze mawazo yako mwenyewe kichwani ya ajabu ajabu, halafu ukimbilie hapa JF kuja kuyaanika huku yakiwa ni tofauti kabisa na uhalisia unaoeleweka wazi kwa karibu kila mtu, halafu utake tuyaamini zaidi ya ule uhalisia tunaoufahamu. Halafu tukae kimya?
"Uhalisia" ni upi. Anao nani?
Wewe unajuwa kila kitu kilichofanyika wakati akina halima wanaasi?
 
Hiyo Chadema gani ina muda wa kuwakaribisha wale malaya wa kisiasa ili wakagombee?
Kama alipokelewa Lowassa ndani ya wiki 2 na akapewa nafasi ya kugombea urais, ndio itakuwa hao akina Mdee wanaosema wamekijenga cdm kwa jasho na damu?
 
Lakini sioni 'facts' ulizoweka hapa zisizoweza kutiliwa mashaka, kwa hiyo haziko mbali na unazoziita "porojo".
Facts nilizozisema ni kuwa, kuanzia viongozi wote wa juu wa Chadema vikao vyote vya Chadema, wanachama wa Chadema, Katiba ya Tanzania na Mazingira ya kisiasa vyote viliwakana na kuwakataa wakina Halima Mdee na genge lote la malaya wa Covid 19, ni dola pekee ndio iliamua kuwabeba na ndio inayoweza kuwabeba. Hiyo ndio facts.
 
Halima Mdee anapotential ya kufanya nini?
Mtu mwenye real potential anawezaje kung'ang'ania ubunge wa viti maalum vya mchongo wa umalaya wa kisiasa?
kusema kweli CCM na serikali yake imejengwa sana majembe ya Chadema ni chuo cha kuzalisha wanasiasa bora. hongereni ila na nyinyi wekeni retention programme
 
Kama alipokelewa Lowassa ndani ya wiki 2 na akapewa nafasi ya kugombea urais, ndio itakuwa hao akina Mdee wanaosema wamekijenga cdm kwa jasho na damu?
CHADEMA haina utaratibu wa kuwapokea wasaliti na kuwapa vyeo au nafasi. Wale malaya wa Covid 19, hawana nafasi kikatiba na wala hawana tena mtaji wa kisiasa popote, fungu lao lilishafutika kote.
Lowassa alihamia Chadema akitokea CCM, na vikao na wanachama wa Chadema wakampitisha kugombea urais. Katiba ya Chadema ilikuwa inamruhusu na mazingira ya kisiasa nje ya Chadema yalikuwa yanambeba vizuri zaidi. Hiyo ndio fact.

Mengine ni porojo na propaganda.
 
Wadau nawasabahi.

Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi MA?
Je, CCM itawateua kama wabunge wa viti maalum?
Au watastaafu siasa?

Ngoja tusubiri 2025.
Walimshtukia Mbowe na Lissu,wenyewe wanakula ruzuku alafu wenzao hohehahe
 
CHADEMA haina utaratibu wa kuwapokea wasaliti na kuwapa vyeo au nafasi. Wale malaya wa Covid 19, hawana nafasi kikatiba na wala hawana tena mtaji wa kisiasa popote, fungu lao lilishafutika kote.
Lowassa alihamia Chadema akitokea CCM, na vikao na wanachama wa Chadema wakampitisha kugombea urais. Katiba ya Chadema ilikuwa inamruhusu na mazingira ya kisiasa nje ya Chadema yalikuwa yanambeba vizuri zaidi. Hiyo ndio fact.

Mengine ni porojo na propaganda.
Kama tulimwita fisadi na tukampa nafasi miezi miwili kabla ya uchaguzi, hiyo nguvu ya kutetea haya unaitoa wapi? Au kwetu wasaliti ndio wabaya kuliko fisadi? Tunza huu Uzi utaelewa nini naongea. Hili jambo halihitaji jazba.
 
"Uhalisia" ni upi. Anao nani?
Wewe unajuwa kila kitu kilichofanyika wakati akina halima wanaasi?
Kama kuna kitu kingine chochote cha zaidi ambacho ni cha kweli, kina nguvu na mantiki yenye kupingana na hichi tunachokijua wote kuhusu ubunge wa kimalaya wa Covid 19 tuambie basi ili tujue sote hapa JF. Kwanini husemi hicho kama kipo na unakijua?
Kwanini uje hapa JF na zile zile blah blah za wale wale wenye fikra za kutunga upuuzi halafu unataka kutukuamini?

Sote tunajua Chadema kwa kauli moja hawahusiki kutengeneza ubunge wa malaya wa Covid 19. Hiyo ndio fact.
 
Kama tulimwita fisadi na tukampa nafasi miezi miwili kabla ya uchaguzi, hiyo nguvu ya kutetea haya unaitoa wapi? Au kwetu wasaliti ndio wabaya kuliko fisadi? Tunza huu Uzi utaelewa nini naongea. Hili jambo halihitaji jazba.
Mimi nimekwambia uhalisia.
Katiba ya Chadema kwa wakati wote ilikuwa inampa Lowassa nafasi ya kuwa mwanachama na kuomba kugombea urais. (Jambo ambalo wale malaya wa Covid 19 hawana tena).
Pili mazingira ya kisiasa nje ya Chadema yalikuwa yanampa nafasi kubwa Lowassa kufikiriwa kuwa mgombea mwenye nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi ule, na kwa kuwa uchaguzi ni mbio za kisiasa za kupambana kushinda, hakukuwa na ujanja mwingi wa Chadema kumkwepa Lowassa kuwa mgombea wake. Ndio sayansi ya siasa ilivyo. Bahati mbaya sana, Mdee na wale malaya mpaka sasa hawana hiyo karata, hawana uwezo wa kushinda nafasi yoyote ndani au nje ya Chadema. Wasaliti wamechokwa mbaya.
 
Hiyo sayansi ya siasa iliyoona Lowasssa ndio anafaa kuwa mgombea wa vodafasta huku akiwa fisadi, pia itatumika sayansi hiyo hiyo kuwarudisha akina Mdee.
 
Wewe kweli una akili sawa sawa?
Kwa hiyo kama kuna mtu mkubwa ndani ya Chadema (labda tuseme mwenyekiti) yupo nyuma yao, hiyo inatosha wao kuwepo bungeni kihuni kihuni vile?

Yaani huyo mtu ana nguvu, mamlaka na uwezo wa juu wa kuirubuni serikali ya CCM na bunge lake ili hao malaya wa Covid 19 waendelee kuwepo bungeni?

Huyo mkubwa wa Chadema unayedai yuko nyuma yao ndio aliwezesha yule mwanamke aliyekuwa gerezani kutolewa usiku usiku ili akaapishwe?

Huyo mkubwa wa Chadema unayemsema ndio akamuamrisha mpaka spika Ndugai kwenda kule garage ya ukumbi wa bunge kuwaapisha wale malaya wa covid 19?

Anza sasa kufikiri kwa akili yako, acha kukaririshwa vitu vya kijinga, kipuuzi na kipumbavu. Kwa akili hizo ulizonazo sasa JF hapakufai kabisa.
Tumia heshima kidogo. Kwa nini uwaite malaya wa COVID-19? Je tukisema na wewe ni mtoto wa malaya utakubali? Maana hata wewe mama yako ni mwanamke kama hao
 
Facts nilizozisema ni kuwa, kuanzia viongozi wote wa juu wa Chadema vikao vyote vya Chadema, wanachama wa Chadema, Katiba ya Tanzania na Mazingira ya kisiasa vyote viliwakana na kuwakataa wakina Halima Mdee na genge lote la malaya wa Covid 19, ni dola pekee ndio iliamua kuwabeba na ndio inayoweza kuwabeba. Hiyo ndio facts.
Viongozi "wote" wa CHADEMA unao uwezo wa kuwasemea wewe kwa uhakika wote kwamba "fact" wanazokupa hazina mashaka yoyote? Wewe unao uwezo wa kuwahoji, hadi mioyoni mwao na kuona yanayotoka mdomoni siyo yaliyomo moyoni?

"Katiba ya Tanzania" ni mara ngapi imekiukwa pamoja na kuwepo kama 'fact', tukubali tu kuwa kwa kuwa kuna katiba hiyo tusitegemee kuona mambo yanayokiuka katiba. Tuamini tu kuwa uwepo wa Katiba kama "fact" basi mengine yote yanayofanyika ni fact inayoendana au kukiuka katiba hiyo? Kwani CHADEMA hakuna Katiba; hata kabla hujakimbilia kwenye katiba ya nchi, hiyo katiba ya CHADEMA, ambayo ni 'fact' kuwa ipo, lakini viongozi wa chama hicho wametimiza matakwa yote kama inavyoagiza kila mara? Kuwepo kwa katiba hakuna maana ya yanayofanyika nje ya katiba hiyo ziwe 'facts'.

"Mazingira ya kisiasa" yatakupaje 'facts'; kwani kila kinachofanyika hata katika mazingira haya ya sasa huwezi kukuta mambo yasiyo eleweka na kuhitaji udadisi juu yake?" Mazungumzo ya Maridhiano, unazo 'facts'' zote juu yake?Ujio wa marehemu Lowassa ndani ya CHADEMA, unazo 'facts' zote?
 
Back
Top Bottom