Nini hasa sababu kuu ya kubadilisha pesa?

Ufisadi tu hakuna sababu nyingine, wamejilipa walizotumia katika uchaguzi.
 
Mwaka 1966. (Herdsman [masaai] with animals)
TZ4.JPG

TZ4R.JPG

(lion, panther)
TZ5.JPG
TZ5R.JPG
 
Hii ndo Tz bana yani hela imebadilishwa 2003 hazijakaa hata miaka 10!!!! Hatariii
 
Moja ya sababu za kubadili pesa kwenye awamu ya kwanza ilikua ni kuwadhulumu watu. Baada ya serkali kufilisika kwa uzembe na ufisadi huanza kuchapisha pesa ili kulipa mishahara ya wafanyakazi na gharama nyinginezo. Sasa pesa zinapokua nyingi mikononi mwa watu thamani yake huanguka ndipo serikali huja na njama za kubadilisha pesa na kuanza kuambia watu kua hawatabadili zaidi ya kiasi kadhaa kwa mtu au kumdadisi wapi kazipata na kumyang'anya pesa zake na kutangaza ubadilishaji utadumu muda mchache na asie wahi kubadili basi pesa za zamani hazitambuliki. Iliwafanya wafanyakazi wa mabenki nchini kuwa mamilionea sababu walikua na sehemu yao kwa kila mteja anaekuja kubadilisha pesa Mtanzania kadhulumiwa sana !!
 
Hilo ni sawa mkuu,lakini inavyojitokeza kama sasa hivi ambapo serikali imeruhusu pesa zilizopo ziendelee kutumika mpaka hapo zitakapoisha zenyewe kwenye mzunguko sababu kubwa inakuwa ni nini?Ina maana ni hizo alama za siri tu au kuna mengine?Maana kama ni alama za siri hata hizi tulizonazo sasa zinaweza kuongezewa alama hizo.
 
Wanataka kuondoa sahihi ya Basili Pesambili Mramba na ya Daud Balali kwenye pesa ili Mkulo naye kabla hajafa awe na kumbukumbu ya kusign note za Tanzania. Hii ni hatari.
 
Wakuu naomba kama kuna mwenye picha ya noti mpya atuwekee angalau nasi tuzione zinafananaje.......
 
Hivi noti za sasa hivi ndo zipi hapo, wenzenu sasa hivi ukitaka sukari kwa mpemba unapeleka kuku!. Mambo ya better trade!.
 
Back
Top Bottom