Nini hasa kilicho mfanya Nyerere ang'atuke madarakani?

Nini hasa kilicho mfanya Nyerere ang'atuke madarakani?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,465
kiumri bado alikua yuko safi,kiafya alikua safi,kiakili,vision na uwezo wa kuongoza alikua fiti zaidi,je ni kweli nyerere aliamua kwa hiari yake mwenyewe kutoka moyoni kuachia madaraka au ni nguvu ya mfumo DUNIA?

WHAT IS BEHIND THE SCENE?
 
Are you asking a question or are you telling us a story?
 
Wakati anachukua nchi kutoka kwa Wakoloni ilikuwa na Maendeleo makubwa sana, baada ya miaka kadhaa

ya uongozi wake akaua viwanda vyote, elimu ikafa, umaskini ukaongozeka kwa kasi kubwa...

Kwa aibu kubwa sana akaamua kung'atuka

cc zomba
 
Last edited by a moderator:

Boflo,
Unaweza kutuambia ni viwanda gani alivyotuachia mkoloni ambavyo Nyerere aliviua? Tuanzie hapo.
 
Wakati anachukua nchi kutoka kwa Wakoloni ilikuwa na Maendeleo makubwa sana, baada ya miaka kadhaa

ya uongozi wake akaua viwanda vyote, elimu ikafa, umaskini ukaongozeka kwa kasi kubwa...

Kwa aibu kubwa sana akaamua kung'atuka

cc zomba

Wewe kweli ni mkate na kazi ya mkate ni kumegwa. Watu jamii yako kila litajwapojwa jina la Nyerere mionyo yenu hulipuka chuki na hasira.
Acha roho mbaya juu ya mzee huyu marehemu, R.i.p mzee.
 
Last edited by a moderator:
kiumri bado alikua yuko safi,kiafya alikua safi,kiakili,vision na uwezo wa kuongoza alikua fiti zaidi,je ni kweli nyerere aliamua kwa hiari yake mwenyewe kutoka moyoni kuachia madaraka au ni nguvu ya mfumo DUNIA?

WHAT IS BEHIND THE SCENE?

Ulitaka aendelee kuongoza mpaka lini?
 
Wewe kweli ni mkate na kazi ya mkate ni kumegwa. Watu jamii yako kila litajwapojwa jina la Nyerere mionyo yenu hulipuka chuki na hasira.
Acha roho mbaya juu ya mzee huyu marehemu, R.i.p mzee.

Hehehehe.......Sina la kukujibu ww ni miongoni mwa wasiosarifika
 
kiumri bado alikua yuko safi,kiafya alikua safi,kiakili,vision na uwezo wa kuongoza alikua fiti zaidi,je ni kweli nyerere aliamua kwa hiari yake mwenyewe kutoka moyoni kuachia madaraka au ni nguvu ya mfumo DUNIA?

WHAT IS BEHIND THE SCENE?

Alimwona Mwinyi anautaka urais kwa kasi ya ajabu ikabidi amwachie.
 
kiumri bado alikua yuko safi,kiafya alikua safi,kiakili,vision na uwezo wa kuongoza alikua fiti zaidi,je ni kweli nyerere aliamua kwa hiari yake mwenyewe kutoka moyoni kuachia madaraka au ni nguvu ya mfumo DUNIA?

WHAT IS BEHIND THE SCENE?

....Ha ha ha ha I LIKE THAT "mfumo DUNIA" vijana wa siku hizi mna maneno kweli kweli....anyway.....ni hvi wakati ule kambi ya ki socialism ilikua inaanguka na hali ya kiuchumi tanzania ilikua mbaya sana na hata hivyo capitalism ilikua inashika kasi dunia nzima kwa vile jk alikua na sera za kijamaa akaona ni vyema amuachie mtu mwingine madaraka ili ubepari ukiingia nchini isiwe aibu yake!
 
Wewe kweli ni mkate na kazi ya mkate ni kumegwa. Watu jamii yako kila litajwapojwa jina la Nyerere mionyo yenu hulipuka chuki na hasira.
Acha roho mbaya juu ya mzee huyu marehemu, R.i.p mzee.
demokrasia si tu kuruhusu vyama vingi bali kuheshimu mawazo ya
wengine
 
Mimi ni mmoja ya wale wanaoamini Baba wa Taifa Nyerere aliamua yeye mwenyewe kuachia madaraka, na hii inatokana na moyo safi aliokuwa nao na kutokuwa na uchu wa madara na ubinafsi wa kujilimbikizia mali.

Watu kama Nyerere ni wachache sana katika dunia ya sasa hivi, nitakupa mfano ya watu ambao ki mtazamo wangu hawa walipaswa wapumzike siasa za hapa Tanzania mfano Samuael sita huyu amekuwa mbunge kwa kipindi cha miaka 30 na katika kipindi hicho ameshika nyadhifa mbali mbali kama ni mali ameshakuwa nazo za kutosha kama umaarufu amekuwa nao wa kutosha kuondelea kung'ang'ania siasa na uongozi huo ni uchu na ulafi wa madaraka.

Mfano mwingine ni Edward lowasa, Stephene wasira, Magufuli hawa wote ni matajiri sana na wapo kwenye nyadhifa mbali mbali za kiserikali kwa muda wa miaka 20 sasa muda huo unatosha kujitadhimini mchango wao katika Taifa hili na kupisha wengine waonyeshe uwezo wao wa kuliongoza hili taifa na kulitumikia hili taifa lakini kwa sababu ya tamaaa na uchu hawa watu bado ni ving'ang'anizi
 
Ulitaka aendelee kuongoza mpaka lini?

.....we kijana mwehu kweli,mwenzako angalau katumia theluthi ya akili yake kutaka kujua sababu za mwalimu kung,atuka we unakurupuka na hang over zako za boha!
 
As much as i like Mwl Nyerere for his love and patriotism for this Country i hate to say that the path he chose to reach economic and social development was not a right one.Socialism was the reason why we were and are still lagging behind other Nations .Socialism encourages laziness,Slows down and even cripples innovation because it is for collectivism.Collectivism kills individualism which is the platform for the potential realization.On contrary Capitalism encourages individualism.It encourages you to realise your potential(hidden talent).That's where Nyerere went wrong,His decision to confiscate some Tanzanians's properties and think they don't deserve to own such wealth while other Tanzanians are dying poor was the noticeable signs of socialism.Socialism punishes people who are successful.That's the reason why socialism failed in many Countries,Tanzanian doners included.The fall of USSR meant Tz lost its major financial doner,Nyerere wasn't ready to surrender to Capitalists to get their financial help.
 
....Ha ha ha ha I LIKE THAT "mfumo DUNIA" vijana wa siku hizi mna maneno kweli kweli....anyway.....ni hvi wakati ule kambi ya ki socialism ilikua inaanguka na hali ya kiuchumi tanzania ilikua mbaya sana na hata hivyo capitalism ilikua inashika kasi dunia nzima kwa vile jk alikua na sera za kijamaa akaona ni vyema amuachie mtu mwingine madaraka ili ubepari ukiingia nchini isiwe aibu yake!

Kama siyo vita ya Tanzania na Uganda,Mwl. Nyerere alikua aachie/astaafu madaraka 1980. Wakati anawadokeza wajumbe wa Tanu kuhusu nia yake ya kuachia madaraka ifikapo 1980,Tanzania ilikua na uchumi imara licha ya janga kubwa la njaa mapema miaka ya 1970.

Inawezekana kwa wakati huo wajumbe wale walishangaa kwanini Mwl. Nyerere alitaka kustaafu mapema,lakini kwa msomi wa sasa unaweza linganisha kazi kubwa ya kuliunganisha na kujenga taifa iliyofanyika wakati wa uongozi wake na watawala waliomfuatia!
 
....we unaona ni stori hiyo? watoto wa kawambwa mna taabu sana.
Yaani huyu mzee unamuita mtoto wa Kawambwa, hebu jaribu kufuatilia mabandiko yake yatoka zamani ndo utajua mtu anahitaji heshima zake.
 
.....we kijana mwehu kweli,mwenzako angalau katumia theluthi ya akili yake kutaka kujua sababu za mwalimu kung,atuka we unakurupuka na hang over zako za boha!

Mkuu, ID yako inanifanya ning'amue ufahamu wako na uelewa wako, maana inaonekana akili yako imekaa ki grave grave.
 
binafsi naamini ni busara tu, kwanza nyerere alituonyesha si mroho wa madaraka kwa kitendo cha kuacha uwaziri mkuu mwaka 1962 ili aende akaimarishe TANU hili ni somo kubwa sana hapa, pili kumbuka nyerere alipanga kustaafu mwaka 1980 Bahati mbaya tukawa tumetoka vitani hali haikuwa nzuri kiuchumi na hata kiusalama hivyo akaombwa aendelee miaka 5 zaidi . Lakini jambo kuu ni kuwa Nyerere alikuwa Philosopher aliamini katika african socialism kwake aliamini ni njia bora kwa mwafrika kupata maendeleo yake
 
Back
Top Bottom